Wapinzani chezeni karata zenu kwa umakini sana kutokana na Rais tuliyenaye sasa hivi

Hivi Sasa hivi mkililia katiba unafikiria wananchi wanaelewa badala ya uchumi uliokuwa umekufa. Hafu kuwa na sera nzuri na kuzifungia kabatini na Wala hamzizungumzii wananchi wataota kweli?
 
Kama ni hivi kwanini wasihamie CCM? Huko si ndio full bata na faida kibao za kipesa na political future? Why wabakie upinzani kama wanaona hakuna future? More so wametimuliwa ila wanang'ang'ana sana?
Watch the game.

It's all about strategies!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…