Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Sijui umekula maharage ya wapi,umelewa asubuhi hii
 
Bila tume huru hawawezi shinda ila kukiwa na haki huyo unaemsifia ni mweupe mno ndio maana hata fomu katoa moja ungeshangaa angetoa fom zaidi ya moja yani hata ndani hawamtaki !!! Ulishaona awamu IPI fom inatolewa moja???
Mnamkuza kama Mungu lakin he doesn't deserve such status !!!!
Ajira hakuna
Ameshindwa hata kuongeza mishahara watumishi wanaishi kimaskini mno kuliko awamu zote
Anatamba yeye anajua wakiongea wengine itakua......
Ukabila ndo usiseme ???
 
Magu amefanikiwa sana kwenye propaganda na sio kitu kingine, JK alifanya makubwa kuliko magu, wakati wa JK kulikuwa na ukuaji mkubwa sana wa uchumi na ndio nchi ilipaa na wakati huo huo pesa ilikuwa mtaani. Lakini sasa pesa inajenga uwanja chattle na madaraja Mwanza, na kununua madege ambayo sasa yamepaki viwanjani. Bado watu wengi humuelewi yanayoendelea na kwa nini magu atapigana hata kwa kutumia Jeshi la Wananchi ilimradi ashinde. Anajua akishindwa maana yake ni nini.
 
.....eti Lissu anauwezo wa kumkabili Magufuli (best president ever).

Naombeni niwaambie hakuna mtu anayeweza mkabili Dkt. Magufuli hata kidogo, mimi nasema atakae weza mkabili Magufuli nitatoa milioni tano cash....
Wewe umeweka hapa dau la fedha bila jina kamili na namba ya cm??! Utapatikana vipi ili ukamuliwe hiyo pledge?
 
Kikubwa watu wapige kura. Huwezijua ,Malawi.
 

Mbona mlikuwa mnasema inchi masikini haina uwezo wa kununua chochote
Sasa huo uchumi ulikua vipi?
Au mlikuwa mnajishebedua kma wanawake?
 
Amini nakwambia sio tu Magufuli, hakuna mwanasiasa popote pale Tanzania anayeweza kupambana na Tundu Antipas Lissu.
Kwa uwezo wa Lissu kwenye ulingo magu anaaga mapema sana.

Na kwa jinsi Magu alivyoharibu kwenye kilimo na Sera zake za ajabu si korosho, si mbaazi, si ufuta si mahindi bei zimeharibika vibaya sana , kwa jinsi alivyoharibu kwenye uchumi hadi biashara kufungwa, makampuni kufungwa ivyo watu kupoteza ajira. Kwa jinsi magu alivyoharibu sekta binafsi hadi suala la ajira limeharibuika vibaya kuna vijana maelfu wamegraduate tangu 2015 na hawana ajira nina uhakika Lissu anampiga Magu mapema sana
 
Kwani hiyo tume iliyopo ndo hiyohiyo ilio wapitisha akina mbowe zitto nk. kuwa wabunge? au waliibadili wakaweka hii ambayo sio huru
 
Mbona mlikuwa mnasema inchi masikini haina uwezo wa kununua chochote
Sasa huo uchumi ulikua vipi?
Au mlikuwa mnajishebedua kma wanawake?
Sasa tunaweza kununua kwa kuwacheleweshea mafao wastaafu,kutoongeza mishahara,Kutotoa ajira kwa wahitimu.

Chama tawala oyeeeee.
 
Kukiwa na Tume huru tu, huyo mtu wako anaangukia pua saa 3 asbh
 
Mbona mlikuwa mnasema inchi masikini haina uwezo wa kununua chochote
Sasa huo uchumi ulikua vipi?
Au mlikuwa mnajishebedua kma wanawake?
Nchi imenunua ndege na kufilisika sasa tunadaiwa zaidi ya trilioni 50 haijapata kutokea tangu uhuru! Tunadanganywa ni fedha za ndani kumbe tunakopa kujenga mareli ya kizamani ya njia moja badala ya njia mbili, n.k.
 
Umeandika ukwel mtupu 90% ya vipindi tbc ni kumsifu magufuli
 

Milion 5 iko wapi?
 
Kwani Mapombe na lissu nani mkali ? Mtu kaogopa hata kusafiri kisa lugha ngumu
Upinzani kushinda inawezekana tena kwa kishindo ila tatzo linakuja pale unapo shindwa kutoa hoja unaanza kumtukana mtu kupitia jina lake na matusi ambayo hayausiani na wadhifa wake, hoja mliokuwanayo kipindi kilichopita kwamba ccm kuna ufisadi na mengine mengi ilitosha kuwainua

siasa za tanzania ziko hivi

Upizani : unatoa hoja

ccm : inajibu hoja

upinzani : unatukana

ccm : inajisifu kwa mazuri walio fanya (hapo hawa jibu tusi ila wanatengeneza point)
 


Sawa kwakuwa amejenga viwanda 100 nani tamnyima kura Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…