Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Sijui umekula maharage ya wapi,umelewa asubuhi hiiNinawashangaa sana baadhi ya watanzania walio ni fikra ndogo na upeo mdogo wa kufanya upembuzi yakinifu juu ya nani atashinda u rais mwaka huu.yani unakuta mtu anasimama kabisa na kusema eti lissu anauwezo wa kumkabili magufuli (best president ever).
Naombeni niwaambie hakuna mtu anayeweza mkabili Dkt. Magufuli hata kidogo, mimi nasema atakae weza mkabili magufuli nitatoa milioni tano cash.
Dkt. Magufuli sio wa mchezo kama mnavodhani enyi watu wenye uelewa mdogo, amefanya makubwa na nchi inaenda vizuri sana. Eleweni basi. Mnajisumbua wapinzani