Ndoto bila mikakati madhubuti itabaki kuwa ndoto. Priorities za wapinzani katika nchi yetu hazijawahi kusimama wima tangu multiparty system irejeshwe nchini!
Sijui umekula maharage ya wapi,umelewa asubuhi hii
Bila tume huru hawawezi shinda ila kukiwa na haki huyo unaemsifia ni mweupe mno ndio maana hata fomu katoa moja ungeshangaa angetoa fom zaidi ya moja yani hata ndani hawamtaki !!! Ulishaona awamu IPI fom inatolewa moja???
Mnamkuza kama Mungu lakin he doesn't deserve such status !!!!
Ajira hakuna
Ameshindwa hata kuongeza mishahara watumishi wanaishi kimaskini mno kuliko awamu zote
Anatamba yeye anajua wakiongea wengine itakua......
Ukabila ndo usiseme ???
Aisee umeona mbali sana, hongera sana mkuuMagu amefanikiwa sana kwenye propaganda na sio kitu kingine, JK alifanya makubwa kuliko magu, wakati wa JK kulikuwa na ukuaji mkubwa sana wa uchumi na ndio nchi ilipaa na wakati huo huo pesa ilikuwa mtaani. Lakini sasa pesa inajenga uwanja chattle na madaraja Mwanza, na kununua madege ambayo sasa yamepaki viwanjani. Bado watu wengi humuelewi yanayoendelea na kwa nini magu atapigana hata kwa kutumia Jeshi la Wananchi ilimradi ashinde. Anajua akishindwa maana yake ni nini.
Unadhani watanzania wote zaidi ya million 50 nimazuzu kama wewe.
Kwani Mapombe na lissu nani mkali ? Mtu kaogopa hata kusafiri kisa lugha ngumu
Mzee Shomari anasema upo sawa kabisa mtoa mada. Ndio maana watu wanafanya shughuli zao kwa amani mpaka usiku.Kupitai Rais Magufuli hatimaye Chama, Serikali na Nchi imetulia na inafuata maadili.
Hongera JPM kwa hili
Akishamaliza muda wake 2025 na akaondoka nini kitatokea?Kupitai Rais Magufuli hatimaye Chama, Serikali na Nchi imetulia na inafuata maadili.
Hongera JPM kwa hili
Hivi kama jpm ameweza kuwa rais atashindwa lissu? Acheni ushabiki Wa kijingaLissu hana sifa ya kuongoza hata mkoa ukiacha Nchi. Mnatujazia server tu. Bora hata huyo DJ anaewsza kumanage hata biashara zake mwenyewe. Lissu anamafanikio yapi katika maidha yake binafsi mpaka tumuamini kutuvusha? Yeye mwenyewe hana issue sisi atatusaidiaje?
Ninawashangaa sana baadhi ya watanzania walio ni fikra ndogo na upeo mdogo wa kufanya upembuzi yakinifu juu ya nani atashinda u rais mwaka huu.yani unakuta mtu anasimama kabisa na kusema eti Lissu anauwezo wa kumkabili Magufuli (best president ever).
Naombeni niwaambie hakuna mtu anayeweza mkabili Dkt. Magufuli hata kidogo, mimi nasema atakae weza mkabili Magufuli nitatoa milioni tano cash.
Dkt. Magufuli sio wa mchezo kama mnavodhani, amefanya makubwa na nchi inaenda vizuri sana. Eleweni basi. Mnajisumbua wapinzani
Kuku ameshabwaga manyanga mtajijua wenyewe.Una hoja za kibwege sana !
Mstaafu Alhaji Mwinyi alisema atapata miaka mingine mitano ya zawadi. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee patamu hapo! Hapa Kazi Tu! Tanzania ya sasa inameremeta meremeta tu - Zuchu.Akishamaliza muda wake 2025 na akaondoka nini kitatokea?
Upinzani kushinda inawezekana tena kwa kishindo ila tatzo linakuja pale unapo shindwa kutoa hoja unaanza kumtukana mtu kupitia jina lake na matusi ambayo hayausiani na wadhifa wake, hoja mliokuwanayo kipindi kilichopita kwamba ccm kuna ufisadi na mengine mengi ilitosha kuwainua
siasa za tanzania ziko hivi
Upizani : unatoa hoja
ccm : inajibu hoja
upinzani : unatukana
ccm : inajisifu kwa mazuri walio fanya (hapo hawa jibu tusi ila wanatengeneza point)
Una hoja za kibwege sana !
Hiyo ni kwa mujibu wa akili zako