Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Hiyo ni kwa mujibu wa akili zako
Ndoto bila mikakati madhubuti itabaki kuwa ndoto. Priorities za wapinzani katika nchi yetu hazijawahi kusimama wima tangu multiparty system irejeshwe nchini!
 
Hiyo kuna watu hawaioni kwani wamepewa macho lkn hawaoni
Bila tume huru hawawezi shinda ila kukiwa na haki huyo unaemsifia ni mweupe mno ndio maana hata fomu katoa moja ungeshangaa angetoa fom zaidi ya moja yani hata ndani hawamtaki !!! Ulishaona awamu IPI fom inatolewa moja???
Mnamkuza kama Mungu lakin he doesn't deserve such status !!!!
Ajira hakuna
Ameshindwa hata kuongeza mishahara watumishi wanaishi kimaskini mno kuliko awamu zote
Anatamba yeye anajua wakiongea wengine itakua......
Ukabila ndo usiseme ???
 
Magu amefanikiwa sana kwenye propaganda na sio kitu kingine, JK alifanya makubwa kuliko magu, wakati wa JK kulikuwa na ukuaji mkubwa sana wa uchumi na ndio nchi ilipaa na wakati huo huo pesa ilikuwa mtaani. Lakini sasa pesa inajenga uwanja chattle na madaraja Mwanza, na kununua madege ambayo sasa yamepaki viwanjani. Bado watu wengi humuelewi yanayoendelea na kwa nini magu atapigana hata kwa kutumia Jeshi la Wananchi ilimradi ashinde. Anajua akishindwa maana yake ni nini.
Aisee umeona mbali sana, hongera sana mkuu
 
Kupitai Rais Magufuli hatimaye Chama, Serikali na Nchi imetulia na inafuata maadili.

Hongera JPM kwa hili
Mzee Shomari anasema upo sawa kabisa mtoa mada. Ndio maana watu wanafanya shughuli zao kwa amani mpaka usiku.
 
Ni kweli inetulia.

Lakini ni muda muafaka tuimarishe demokrasia sasa.
 
Kwangu kwa uwezo Wa ushawishi magu nampa 60%, lissu 99%.lissu Ni motoo.Tuacha propaganda.ukweli ubaki ukweli
 
Sahihi kabisa. Vijogoo vyote mitaani vimedisapia....fujo za kimakundi na za kiimani pia. ... hujuma za kiuchumi zimepungua.....Heshima imerudi....kuna mwanaume mmoja tu. ...naunga mkono hoja

Namuomba baba magufuli aendelee kutulinda kwenye biashara za importation...azivuruge zile cliques zinazopanga hujuma... Haiwezekani dirisha la aluminium la kawaida lichezee kwenye 250.000....infact aluminium windows shouldnt be that expensive kuliko mbao...
 
Lissu hana sifa ya kuongoza hata mkoa ukiacha Nchi. Mnatujazia server tu. Bora hata huyo DJ anaewsza kumanage hata biashara zake mwenyewe. Lissu anamafanikio yapi katika maidha yake binafsi mpaka tumuamini kutuvusha? Yeye mwenyewe hana issue sisi atatusaidiaje?
Hivi kama jpm ameweza kuwa rais atashindwa lissu? Acheni ushabiki Wa kijinga
 
Ninawashangaa sana baadhi ya watanzania walio ni fikra ndogo na upeo mdogo wa kufanya upembuzi yakinifu juu ya nani atashinda u rais mwaka huu.yani unakuta mtu anasimama kabisa na kusema eti Lissu anauwezo wa kumkabili Magufuli (best president ever).

Naombeni niwaambie hakuna mtu anayeweza mkabili Dkt. Magufuli hata kidogo, mimi nasema atakae weza mkabili Magufuli nitatoa milioni tano cash.

Dkt. Magufuli sio wa mchezo kama mnavodhani, amefanya makubwa na nchi inaenda vizuri sana. Eleweni basi. Mnajisumbua wapinzani

Ndugu, semea nafsi yako...ukimpenda sana, muite mkanywe chai pamoja- JK Nyerere
 
Hakuna kazi nyepesi Kama kuwa rais wa Tanzania full stop.
 
Akishamaliza muda wake 2025 na akaondoka nini kitatokea?
Mstaafu Alhaji Mwinyi alisema atapata miaka mingine mitano ya zawadi. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee patamu hapo! Hapa Kazi Tu! Tanzania ya sasa inameremeta meremeta tu - Zuchu.
 
Kwel we ni zumbukuku, wakat Lowassa anakogeshwa matuc nadhan ulikuwa mtt
Upinzani kushinda inawezekana tena kwa kishindo ila tatzo linakuja pale unapo shindwa kutoa hoja unaanza kumtukana mtu kupitia jina lake na matusi ambayo hayausiani na wadhifa wake, hoja mliokuwanayo kipindi kilichopita kwamba ccm kuna ufisadi na mengine mengi ilitosha kuwainua

siasa za tanzania ziko hivi

Upizani : unatoa hoja

ccm : inajibu hoja

upinzani : unatukana

ccm : inajisifu kwa mazuri walio fanya (hapo hawa jibu tusi ila wanatengeneza point)
 
Hiyo ni kwa mujibu wa akili zako

I am not surprised by this response kwa sababu denialism kama hii ndiyo zao la political myopia ambayo imekuwa tatizo kubwa la upinzani, tangu day 1.

Kwenda Ikulu kunahitaji mazingira wezeshi. Na mazingira wezeshi kwa sehemu kubwa ni level political playing field.

You level the political playing field by strengthening your political parties (the opposition) kiasi kwamba mnakuwa na nguvu kubwa kwenye legislative branch. Mkishakuwa na nguvu kubwa kwenye legislature, you can move to amend all laws that make the playing field bumpy for the opposition.

Tangu day 1, wapinzani katika nchi yetu wamekuwa wakitumia a disproportionate amount of resources kujaribu kushinda uchaguzi wa Rais. Imagine miujiza imetokea Rungwe au Dovutwa, kwa mfano, ameshinda uchaguzi wa Rais. How is he going to govern without a meaningful bloc of allies in the parliament?

Clearly, priorities za upinzani ziko upside down! Wanapaswa kujenga vyama kwa nguvu zao zote ili wakamate sehemu zinazoweza kusaidia kufanya mazingira ya kisiasa kuwa rafiki. They haven’t been able to truly institutionalize their political parties. All we see are essentially political monarchies. Chaguo ni lao. Wanaweza kuendelea kutwanga maji kwenye kinu au kufanya the right thing!
 
Back
Top Bottom