Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hivyo vingine viko wapi miongoni mwa vitu vizuri? Hajafanya maajabu bali ametekeleza kile wananchi wanataka.
Mtu anatakiwa na mahakama aje ajibu kesi. Na anatakiwa aje aisaidie polisi kupata wahalifu. Nani amfanyie figisu?Ndiyo hao wanaochukuwa fomu usiowapenda. Sitegemei mkamfanyia Lissu figisu
Mnapotukana matusi inaonesha kabisa chadema hamna jipya, we kabla ya kujibu kwa hoja unamtukana tena🤨🤨🤨, hapo ndo hata wananchi wanawaona hamfai.Kwahiyo kwa akili yako hiyo ya ngamia kwamba upinzani hawapaswi kugombea nafasi ya Uraisi kwa kigezo hicho mfu? hopeless kabisa wewe
Mkuu unaoto mchana kweupe Nini!?😂, Lakini sawa unaongea maana una haki ya kufanya hivo. By the way unaanzaje kushindanisha Magufuli na mdee kwanzaHata kama amefanya makubwa kiasi gani, bado watanzania wanayofursa ama ya kumchagua au kutomchagua. Maana ni yako yao kufanya hivyo.
Kwa maoni yangu, kama tume ingekuwa huru, kura zinahesabiwa kwa haki, hakuna nguvu ya police-ccm, DED-CCM, mtendaji kata/vijiji-ccm, DAS/RAS-CCM na taasisi nyingine nyingi Ambazo zote ni ma CCM: Hata kama JIWE angepambana na Halima Mdee Kwenye uraisi, mapema sana Mdee angemgalagaza JIWE.
Ndyo maana wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa wamefanya mambo makubwa sana, huku Mtaani Kwetu huku hali siyo SHWARI
Unamaanisha!?Gadaffi alifanya zaidi ya Meko ila siku ilipofika wakamuuwa mtaroni
Kwahiyo wewe unasema kuwa chadema walikuwa sahihi kukubali ushoga siyo!?. Kweli we utakuwa na elements za ushogaUshoga Tanzania hauathiri chochote kwani jamii yenyewe automatic haipendi ushoga na hakiwezi kuwa kisingizio kwani hakina mashiko.
Uwezo wako wa akili ni mdogo Sana!Mkuu unaoto mchana kweupe Nini!?😂, Lakini sawa unaongea maana una haki ya kufanya hivo. By the way unaanzaje kushindanisha Magufuli na mdee kwanza
Hivi mkuu nawewe umekaa na kufikiria hiko kichwani kwako kweli!?. No utakuwa umekengeuka kidogo siyo bure
Maendeleo yapi? Nchi ina rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani Duniani lakini haina maendeleo pesa zote za viwanda mnazitumia kudhoofisha chadema kuua upinzaniWewe ulitaka uwe na uhuru gani wa kufanya siasa? Kupinga maendeleo ambayo Ccm inawaletea watanzania?
Akili huna unawezaje kujua Nonsense? Moshi wa Bangi umekukolea huna lolote na kama CCM ndiyo wanakutegemea mitandaoni wamebugi sana huna unachokijua ni mbumbumbu wa kutupwa.Nonsense.
Wewe ni mnufaika wa 10% kwenye ufisadi wote ikiwemo zile trilion 1.5 zilipigwa mkamtoa CAG kafara kuficha Aibu.Jaduong najua mambo mazuri aliyofanya unayakubali kimoyomoyo. Ngoja baada ya mradi wa JNHPP kukamilika uanze kufurahia matunda.
Hao wagombea wenu wanapoteza muda tu.
Kesi zote za wapinzani hasa chadema ni za kubambikiwa tukuelezee vipi ili uelewe?Mpinzani gani aliyabambikiwa kesi?
Kwa taarifa zako Uswiss hawapeleki pesa huko kwani huwapora ndiyo maana Rais wa Sudan alikuwa anaficha ndani, ulaya ukificha pesa nyingi huzitaifisha, maendeleo ni lazima siyo Hisani za CCM siyo pesa zenu binafsi toka mfukoni ni pesa za walipa kodi.Jaduong kushikilia dola na kuwatumikia wananchi ni swala jingine. Kuna Marais wanahamisha pesa na kupeleka Uswiss. Lakini JPM amejitoa watu wa mara mpate hospital ya rufaa ya mkoa. Kuliko kusafiri mpaka Mwanza. Mnatakiwa mkubali JPM anatekeleza.
Uzalendo ni kuwabambikia kesi wapinzani?Tofautisha kujipendekeza na kulitakia mema taifa lako. Siku ukinunua umeme unit sh100 ndio utajua umuhimu wa kuwa mzalendo.
Sawa nadhani wako ndo umezidi 1000times maana hivo unavoviongea haviwezi tokea kamwe!Uwezo wako wa akili ni mdogo Sana!
CCM yako ya sasa ni CCM penda penda kesi kesi CCM ya uonevu mwingiKuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.
Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.
Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.
Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.
Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Ni kweli waliidhulumu nafsi yake bila sababu za kisharia. Naye Mwenyezi Mungu akawajaalia tabu akakausha mito ya maziwa, na akaigeuza nchi kuwa jehanamu ya duniani. Kama washabikia mambo hata ya hovyo nadhani wewe ni mfuasi wa Shetan aliyelaaniwaGadaffi alifanya zaidi ya Meko ila siku ilipofika wakamuuwa mtaroni
Wewe unavuta bangi au? USA na TZ wapi kumeendelea? Inamaana viongozi walioendeleza USA walikuwa wanaachwa tu ili waendelee kuongoza kisa wameleta maendeleo?Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?