Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Ndiyo hao wanaochukuwa fomu usiowapenda. Sitegemei mkamfanyia Lissu figisu
Hivyo vingine viko wapi miongoni mwa vitu vizuri? Hajafanya maajabu bali ametekeleza kile wananchi wanataka.