Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #121
Mpinzani gani aliyabambikiwa kesi?Kuwabambikia kesi wapinzani ni demokrasia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpinzani gani aliyabambikiwa kesi?Kuwabambikia kesi wapinzani ni demokrasia?
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.
Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.
Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.
Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.
Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Hata angekuwa koleo kupingwa muhimu, hata kama tume ni hii inayoongozwa na mgombea acha muone hisia za wananchi .Mnafahamu kuwa JPM ni jembe na linatekeleza maendeleo kwa ajili ya watanzania na hao wagombea wenu hawana sifa za kupambana na JPM. Hamuoni aibu kufanya huo mchakato?
Kama kuna extrajudicial killings hapa Tanzania mbona wewe na ukoo wenu mpo mnapeta?Kitendawili cha nani anakatisha haki ya baadhi ya watanzania kuishi kikitenguliwa nitakubaliana au kukukatalia assertion yako
Jaduong najua mambo mazuri aliyofanya unayakubali kimoyomoyo. Ngoja baada ya mradi wa JNHPP kukamilika uanze kufurahia matunda.Hata angekuwa koleo kupingwa muhimu, hata kama tume ni hii inayoongozwa na mgombea acha muone hisia za wananchi .
Pili hakuna la maana alilofanya kiasi asilinganishwe na watu wengine. Nimeacha kuemo humu siku mbili nimekuta umetupia utumbo huu !! Daahh [emoji87]
Nonsense.Mtendaji mzuri kweli Kama kwenye tilioni 1.5.
Ndiyo democracy, acha wapoteze muda. Kuacha kuweka mgombea ni usaliti kwa ma democrat . Ingekuwa hivyo akina Trump na wengine wasingepingwaJaduong najua mambo mazuri aliyofanya unayakubali kimoyomoyo. Ngoja baada ya mradi wa JNHPP kukamilika uanze kufurahia matunda.
Hao wagombea wenu wanapoteza muda tu.
Na hapo watanzania wengi wanapokosea. Kufananisha siasa za Tanzania na Ulaya au Usa.Ndiyo democracy, acha wapoteze muda. Kuacha kuweka mgombea ni usaliti kwa ma democrat . Ingekuwa hivyo akina Trump na wengine wasingepingwa
Onghwise, mimi Ccm nimeanza nayo 1975 nikiwa mwana Tanu youth League na baadaye chipikizi wa chama kipya cha Ccm 1977. Hicho cha zamani kilikuwa cha wananchi. Na watu hawakulazimishwa kukipenda. Kila mtu alijiona mwana Ccm. Lakini hii ya leo ina wenyewe, na kama siyo mwana Ccm hata kinafki unahujumiwa kwa kila kitu. Kwa Nyerere hatukuwa hivi.Na hapo watanzania wengi wanapokosea. Kufananisha siasa za Tanzania na Ulaya au Usa.
Hapa Tanzania Ccm ni chama cha watanzania wanyonge sio chama cha matajiri kama Republican. Ndio maana upinzani unaangukia pua.
Kama angekuwa amefanya mengi mazuri, CCM isingempitisha peke yake wangeruhusiwa na wanachama wengine wachukue Fomu ili wakatupwe mbali na vikao vya juu Kama ilivyo kawaida. Hiyo ingemuimarisha dhidi ya wapinzani lakini kwa kuwa miaka 5 amefanya madudu tu, Chama chake kimeogopa atatupwa nje na wanachama wenzake kabla hata ya kufikia kuteuliwa kuwakilisha Chama. Kufukuzwa Membe ni thibitisho la uoga huo.Acha mpambano uendelee we shida yako Nini?Kama undhani amefanyia Mambo mzuri nchi.wapiga kura wataamu.by the way si amepitishwa peke yake huko ccm?
Unaumwa kichwani, na hauko sawa, kapime labda una kisonono kilichoathiri mpaka ubongo wako.Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.
Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.
Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.
Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.
Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?
Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Jaduong Ccm ipo makini inapofanya makosa inajirekebisha. Hii Ccm ya sasa ni kama ya mwl JKN haina mwenye chama au tajiri wa kuimiliki. Na kusema wananchi wanalazimishwa kuipenda sio kweli.Maana matokeo chanya ndio yanawafanya waipende. Kama hospital ya mkoa wa Mara imekaa zaidi ya miaka 30 haijakamilika. Leo hii Ccm wameikamilisha kwa nini watu wa huko kwenu wasiikubali!Onghwise, mimi Ccm nimeanza nayo 1975 nikiwa mwana Tanu youth League na baadaye chipikizi wa chama kipya cha Ccm 1977. Hicho cha zamani kilikuwa cha wananchi. Na watu hawakulazimishwa kukipenda. Kila mtu alijiona mwana Ccm. Lakini hii ya leo ina wenyewe, na kama siyo mwana Ccm hata kinafki unahujumiwa kwa kila kitu. Kwa Nyerere hatukuwa hivi.
Swala la upinzani kutokuwa na uwezo ni maoni yako. Na huwawakilishi WaTz kwa ujumla wao. Acha Maghufuli apingwe hata kama system italazimisha kura kutokutosha.
Nonsense.Kama angekuwa amefanya mengi mazuri, CCM isingempitisha peke yake wangeruhusiwa na wanachama wengine wachukue Fomu ili wakatupwe mbali na vikao vya juu Kama ilivyo kawaida. Hiyo ingemuimarisha dhidi ya wapinzani lakini kwa kuwa miaka 5 amefanya madudu tu, Chama chake kimeogopa atatupwa nje na wanachama wenzake kabla hata ya kufikia kuteuliwa kuwakilisha Chama. Kufukuzwa Membe ni thibitisho la uoga huo.
Mara ina matatizo mengi sana kuwadanganya na peremende ya hospital na ambayo ipo mkoani, na mkoa wenyewe ukiwa umetawanyika ni kama tone la maji masafi ndani ya bahari iliyojaa matatizo.Jaduong Ccm ipo makini inapofanya makosa inajirekebisha. Hii Ccm ya sasa ni kama ya mwl JKN haina mwenye chama au tajiri wa kuimiliki. Na kusema wananchi wanalazimishwa kuipenda sio kweli.Maana matokeo chanya ndio yanawafanya waipende. Kama hospital ya mkoa wa Mara imekaa zaidi ya miaka 30 haijakamilika. Leo hii Ccm wameikamilisha kwa nini watu wa huko kwenu wasiikubali!
Jaduong kushikilia dola na kuwatumikia wananchi ni swala jingine. Kuna Marais wanahamisha pesa na kupeleka Uswiss. Lakini JPM amejitoa watu wa mara mpate hospital ya rufaa ya mkoa. Kuliko kusafiri mpaka Mwanza. Mnatakiwa mkubali JPM anatekeleza.Mara ina matatizo mengi sana kuwadanganya na peremende ya hospital na ambayo ipo mkoani, na mkoa wenyewe ukiwa umetawanyika ni kama tone la maji masafi ndani ya bahari iliyojaa matatizo.
After all kuyafanya yote hayo ni wajibu wa wanaoshikilia dola. Kwani ni kazi walioiomba. Na wanalipwa kwa kazi hiyo . Na hii haimfanyi asipingwe
Kumkubali ni issue nyingine na haiondoi ukweli kuwa lazima vyama vingine viweke wagombea . Kitu kizuri huchaguliwa miongoni mwa vingine. Asin'gang'anie kuonekana kuwa kafanya maajabu yasiyopingwaJaduong kushikilia dola na kuwatumikia wananchi ni swala jingine. Kuna Marais wanahamisha pesa na kupeleka Uswiss. Lakini JPM amejitoa watu wa mara mpate hospital ya rufaa ya mkoa. Kuliko kusafiri mpaka Mwanza. Mnatakiwa mkubali JPM anatekeleza.
Hivyo vingine viko wapi miongoni mwa vitu vizuri? Hajafanya maajabu bali ametekeleza kile wananchi wanataka.CKumkubali ni issue nyingine na haiondoi ukweli kuwa lazima vyama vingine viweke wagombea . Kitu kizuri huchaguliwa miongoni mwa vingine. Asin'gang'anie kuonekana kuwa kafanya maajabu yasiyopingwa