Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
What is your point?CCM ni CCM tu, hata akija na koti la upinzani atabaki CCM tu.
Style ya nini?Badilisha style huna jipya
Unakataa nn 😂😂😂Nani uvccm? Acha kuwa mpuuzi
The point is.. You are not an opposition!! Full stopWhat is your point?
Shonza ndio nini?Shonza
Your wrong young boyThe point is.. You are not an opposition!! Full stop
JulianaShonza ndio nini?
Mkuu wamachinga na wote wanatakiwa watetewe na walindwe chini ya idara au taasisi yenye misingi imara!Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.
Wapinzani tujipange kuwatete na hii hoja tuikomalie 2025.
It is not true.Juliana
Wakomae wenyewe Kwanza wajitafakari kuanzia wakati WA kuungana na watesi WA swami ya tano na kuitwa wsnyonge huku wskifurahia mateso yetu. Wajitafakari wenyewe tutawafuata baadaye ili tuandamane kudai katiba mpyaHayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.
Wapinzani tujipange kuwatetea na hii hoja tuikomalie 2025.
Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.