Unajua maana ya kutapeli pesa? Una unao ushahidi wa machinga kuambiwa kuwa watakopa kutumia vitambulisho vyao?
Nini hasa ilikuwa madhumuni ya vitambulisho vya wamachinga? Kuondoa usumbufu wa kulipa ushuru au kukopa?
..ushahidi upo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya kutapeli pesa? Una unao ushahidi wa machinga kuambiwa kuwa watakopa kutumia vitambulisho vyao?
Nini hasa ilikuwa madhumuni ya vitambulisho vya wamachinga? Kuondoa usumbufu wa kulipa ushuru au kukopa?
..Unajua maana ya kutapeli pesa? Una unao ushahidi wa machinga kuambiwa kuwa watakopa kutumia vitambulisho vyao?
Nini hasa ilikuwa madhumuni ya vitambulisho vya wamachinga? Kuondoa usumbufu wa kulipa ushuru au kukopa?
Hapa kwenye Clip hayati JPM anatamka neno juu kukope vitambulisho hivi. Mbona wapinzani tunachemka?
[emoji109][emoji109]Kwani huko CCM mna mpango gani haswa? Wewe kila mtu anajua ni team viroboto uliyepigwa bao ni team wahuni sasa, sasa viroboto wanajaribu kujiegemeza kwa wapinzani,
Hamna jipya, kipindi huyo JPM anaumiza upinzani si mlikuwa mnashangalia,
Kila mtu akale alipopeleka mboga!!
Wamachinga hawahitajiki mjini Full stop!!Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.
Wapinzani tujipange kuwatetea na hii hoja tuikomalie 2025.