Wapinzani msipinge hii ni kweli, baada ya Rais Magufuli kufariki wamachinga wamekuwa vulnerable

Wapinzani msipinge hii ni kweli, baada ya Rais Magufuli kufariki wamachinga wamekuwa vulnerable

Unajua maana ya kutapeli pesa? Una unao ushahidi wa machinga kuambiwa kuwa watakopa kutumia vitambulisho vyao?

Nini hasa ilikuwa madhumuni ya vitambulisho vya wamachinga? Kuondoa usumbufu wa kulipa ushuru au kukopa?

..ushahidi upo.
 
..

Wamachinga wenyewe walivyo wachache hata kwenye uzi wa buibui hawawezi kuvunja uzio wake
 
Kwani huko CCM mna mpango gani haswa? Wewe kila mtu anajua ni team viroboto uliyepigwa bao ni team wahuni sasa, sasa viroboto wanajaribu kujiegemeza kwa wapinzani,

Hamna jipya, kipindi huyo JPM anaumiza upinzani si mlikuwa mnashangalia,

Kila mtu akale alipopeleka mboga!!
[emoji109][emoji109]
 
Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.

Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu

Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.

Wapinzani tujipange kuwatetea na hii hoja tuikomalie 2025.
Wamachinga hawahitajiki mjini Full stop!!
 
Watu walitaka katiba mpya ila nyie MATAGA mkakataa mkasema haina umuhimu. Umuhimu wake ndio huo sasa. Itafika time mtaita maji mma.
 
Back
Top Bottom