Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #21
Akili yako ni kiduchu sanaUkiwa Na lengo, weka mkakati Kwenye strategies, Ila sasa wewe una malengo tu Na Hakuna mkakati, ndo maana unachoandikaga kinaonekana Ni ujinga!
Mkuu, huu ndio ukweli!Cha kujiuliza ilikuwaje hadi hali ikafikia vile? Mahali popote pakikosekana uzingatiaji wa sheria na taratibu mikanganyiko katika jamii haikosekani. Vitambulisho vya machinga kwa mfano ni kwa mujibu wa sheria ipi ya Bunge?
Wa kulaumiwa ni huyo aliyewafanya wamachinga wazagae kila mahali hadi juu ya mitaro ya maji machafu kujitafutia umaarufu wa kisiasa na sio yule anayezingatia sheria za nchi.
Ulikuwa unamaanisha "You are wrong ..." Nakushauri utumie kiswahili tu mkuu, sio dhambi.Your wrong young boy
Wamlaani huyo huyo Jiwe lao ambaye aliwalaghai kwamba biashara Huwa zinafanyika kiholelaholela, hakuna mipango miji Wala kuangalia usafi na afya za watu! Wahamie Chato wakafanye biashara makaburini kwa Mwendazake! Nonsense.Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.
Wapinzani tujipange kuwatetea na hii hoja tuikomalie 2025.
Marehemu Ruge aliwahi kusema ogopa Mungu na TeknolojiaIt is not true.
Wewe walikuzuia nini? Ulishindwa kupitisha hiyo milonjo mjini? Acha kukariri ujinga wako.Wamlaani huyo huyo Jiwe lao ambaye aliwalaghai kwamba biashara Huwa zinafanyika kiholelaholela, hakuna mipango miji Wala kuangalia usafi na afya za watu! Wahamie Chato wakafanye biashara makaburini kwa Mwendazake! Nonsense.
Mmachinga ni a person ambaye halipi kodi, hataki kupangiwa, hataki utaratibu unaoeleweka kibiashara, hata kura hapigi.Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.
Wapinzani tujipange kuwatetea na hii hoja tuikomalie 2025.
Hujui kusoma? Acha ujingaujinda ndie mdudu Gani wewe kamanda uchwara?
Wapinzani ndio waje ns hoja zs kugeuza kila mji nchini kuwa gulio la bidhaa za kichina?
Huu upumbavu hapana, kwanza bado naona hawajaondolewa vizuri
Tunatakiwa kuwa na taifa la wazalishaji, sio ule upumbavu wa Magufuli
Am not a boy, am jus' an olskool real nigga! So don't https://jamii.app/JFUserGuide our mind. You jus' a coward and not an opposition!Your wrong young boy
Huu mkwara mbuzi vipi? Link haifungukiAm not a boy, am jus' an olskool real nigga! So don't JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala our mind. You jus' a coward and not an opposition!
Mi ningekuwa rais ningewaua machinga wote au kuwasomba na toroli na kuwatupa paharini Mana wanaboa na kuchafua kila sehemu. Hakuana uchumi uniani mzuri unaondeshwa na machingaHayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.
Wapinzani tujipange kuwatetea na hii hoja tuikomalie 2025.
Hakuna mkwara nimekupa facts! Ww sio upinzan never! Ww ni vegetables ✔️Huu mkwara mbuzi vipi? Link haifunguki
Stupidity is a disease.Hakuna mkwara nimekupa facts! Ww sio upinzan never! Ww ni vegetables ✔️
Hatuwezi kuendesha nchi kwa kutumia same level of thinking.Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.
Wapinzani tujipange kuwatetea na hii hoja tuikomalie 2025.
You mean you were wrong?Ulikuwa unamaanisha "You are wrong ..." Nakushauri utumie kiswahili tu mkuu, sio dhambi.
JESUS IS LORD!
Bora umesema "Wapinzani msipinge" na siyo "Wapinzani tusipinge"Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila virungu.
Wapinzani tujipange kuwatetea na hii hoja tuikomalie 2025.
kamanda vipi umefura?Hujui kusoma? Acha ujinga