Wapinzani msipinge hii ni kweli, baada ya Rais Magufuli kufariki wamachinga wamekuwa vulnerable

Wapinzani wa bongo wangekua serious hii serikali ya ma CCM ingeondolewa kirahisi sana 2025. Wabongo wameichoka sana sana hii kitu ccm yaani 2025 ilikua kama kumsukuma mlevi tu. Ni kwamba wapinzani wangebadili safu nzima viongozi wawaingize vijana.. oil chafu kama akina Zitto Kabwe tupa kule.
 
Wamachinga wameletwa na sera muovu za ccm! Wanaondolewa na sera muovu za ccm
UVCCM wanajadili magufuli ambaye ni binadamu na sasa kaoza badala ya kujadili masuala. Yaani sera muovu zilizowaleta WAMACHINGA
 
Humo ndani kwa wamachinga kuna mapandiki ya CCM
 
Wamachinga wanakuwa vulnerable kwa sababu ya kuishobokea CCM.CCM haijawahi kuwa na jema kwenye nchi hii.

Magufuli kuruhusu wamachinga kuziba barabara kwenye miji yote nchi nzima ilikuwa ni kinyume na kanuni za mipango miji.

Magufuli hakufanya vile kwa ajili ya kuwasaidia wamachinga,alifanya vile kwa kuwa hakuwa na mipango thabiti ya kuwasaidia wamachinga pamoja na nchi hii.

Wamachinga wataendelea kuwa vulnerable hadi pale watakapoweza kujua kuwa adui yao ni CCM.
 
..of course.

..wameuziwa vitambulisho na wakaambiwa kinaweza kutumika kuombea mkopo BENKI, kitu ambacho ni UONGO.
Unajua maana ya kutapeli pesa? Una unao ushahidi wa machinga kuambiwa kuwa watakopa kutumia vitambulisho vyao?

Nini hasa ilikuwa madhumuni ya vitambulisho vya wamachinga? Kuondoa usumbufu wa kulipa ushuru au kukopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…