Hakuna demokrasia kwa watu maskini kama sisi. Demokrasia inamruhusu mtu kuwachochea watu maskini waichukie serikali yao maskini isiyokuwa na fedha za kuwahudumia kikamilifu. Kama Kuna Rais wa nchi maskini ataikumbatia sana demokrasia kiongozi huyo lazima ataanguka, na hata yule atakaemuangusha pia Hana Cha maana atakachowafanyia wananchi kwakuwa shida sio kiongozi bali mifumo mibaya ya fedha na biashara ya dunia.Haa haa just haa haa.! Mmeshindwa kutetea LIMKATABA LIBOVU mnataka sasa na sisi tunao upinga tunyamaze. Halafu maisha yaendelee. Hili la kuuza bandari si sawa na la kuuza madini. Hakuna mwenye akili timamu atanyamazia hili. Mkataba ni MBOVU, UFUTWE. Ni LAZIMA UFUTWE.
#OkoaBandariZetu
Kuna ukweli fulani kwenye hilo. Watanzania shida yao kubwa sio CCM bali mfumo wa uchumi wa dunia usiotoa nafuu hata kidogo kwa nchi za Afrika. mali za Afrika zinaibiwa na ni lazima ziibwe bila kujali ni chama gani kinatawala. ndio maana hata nchi zilizobadilisha vyama bado zimesalia palepale na vilevile na hivyohivyo, tena wakati mwingine wananchi wanaweza kuhisi ni heri wangebakia na chama walichokiangusha. Wanchi wa Liberia walidhani wakimchangua Mtu maarufu kama George Weah kuwa Rais wataogelea kwenye dimbwi la raha na nafuu, lakini cha ajabu hata mpira wao haukunyanyuka. Ruto hivyohivyo, Chikwera kule malawi hivyohivyo, na kwingine hali yao imebaki ileile au chini zaidi.Acha kudanganya watu wewe wapi umeona kuna ubadhilifu, wapi kuna ukosefu wa pembejeo kwa wakulima, wapi kuna ukosefu wa maji mpaka wapinzani waandamane kupinga vitu hivyo? Hii nchi hakuna shida chini ya utawala wa CCM🤣🤣🤣🤣🤣