Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

Swali hilo ungemuuliza Magufuli, kwakuwa yeye alisema kabisa sibadili Katiba ng'o, maana kwenye ilani na kampeni yake hakuahidi Katiba popote. ni upuuzi kuuliza swali hili kwa Rais ambae amesema anataka kuandika Katiba mpya.
Tusubiri tuone !
 
wewe ni sawa na yule mwanamke mwenye wivu anaemkataza mumuwe hata kwenda kufanyakazi kwa kuhofia kuwa anakwenda kwa wanawake lakini anataka apewe hela ya kununua chakula na kijola na mumewe huyohuyo asiyekwenda kazini. Huo ndio unaoitwa wivu wa kijinga, wivu wa kike. Unataka mume mlale wote mchana kutwa mkifanyana halafu unamdai chakula. Mnataka Rais asambaze maji kila kona bila hela? Na kuna wapumbavu hawataki hata akope lakini wanataka barabara. Wapuuzi kabisa hawa, Rais makini hawezi kucheleweshwa na wapuuzi kama hawa. Sasa naelewa kwanini Magufuli alikuwa akiwatwanga vibaya sana watu wa hivi.
wewe ni kilaza hata ulichoandika inawezekana sicho unacho waza
 
wewe ni kilaza hata ulichoandika inawezekana sicho unacho waza
Shida yetu kubwa ni exposures. Nchi hii imepitia vipindi vingi sana vya uongozi, kama kiongozi mfanya maamuzi kazaliwa, kukulia na kusomea kijinini na kuja mjini akiwa mkubwa, hata fikra, vitendo na maamuzi yake ni ya kijijini hivyohivyo, ya kimila, makakala yenye harufu ya ushamba ushamba na ulimbukeni hivi (analogue). Rais huyu tuliyenae ana exposure kubwa sana, akili yake sio ya ugali unaolaza bongo, anajua wapi taifa lilikosea tukabaki hapa tulipo. Tumpe nafasi kama afanye kazi yake. Marais wanawake duniani hawana mambo mengi ni uchumi TU.
 
HIvi akili ndogo hivi? Kulinganisha taasisi ya kanisa na huu wizi? Kwa hiyo bado unajenga hoja ya UDINI? Bandari yetu maskini!
Sio mahali Wala kifungu kwenye mkataba kinachoashiria kuwa Tanzania inaekekea kwenye korongo refu ambalo hatuwezi kutoka humo milele. Watu wanapinga kwa hisia bila kutoa au kuonyesha evidence. Wanapiga kelele hizo bila kusema nini kifanyike. Kuna maandazi mmoja anasema ni Bora tufanye wenyewe!!!! Unamtazama usoni kisha unatoa machozi ya huruma. Hajui asemalo kwa nchi ambayo hata madawati shuleni bado hayajaenea vyumbani ndio tutaweza kununua mitambo na ujuzi wa kuendesha bandari? Watashindwa TU maana katiba yetu hairuhusu Rais kushindwa jambo.
 
Wewe kunguni unaona nchi kuuzwa siyo hoja!!?? mavi ya bata wewe na wenzako!
Wewe jidanganye TU ukweli kwa mujibu wa Katiba na Ilani ya uchaguzi huu hapa. Subirini mkifika Ikulu.
 
yaani huna aibu kupost picha ya jambazi katika majibu kwangu? SHAMMMME
Wanatekeleza ilani ya chama chao, ubishi uko wapi? na wewe ukipewa ridhaa na wananchi tekeleza ilani yako ya serikali ya majimbo, kutegemea wazungu, kuutambua ushoga, nk hutaona upinzani mkali utakaokuzuia. Kama CCM wanafanya vibaya tuwasubiri kwenye kisanduku cha kura tuwaadhibu, laa sivyo tuwapeleke mahakamani na kuchuwana nao huko, atakaeshindwa akae kimyaa asubiri utekelezaji wa ilani. Unaposema Mkataba ni mbaya letu mkataba ambao ni mzuri ili tuilinganishe, unaposema nchi imeuzwa lete ushahidi wa risiti za malipo na nani kapokea hela hizo. Vinginevyo ni udaku, uchochezi na umbeya ambao adhabu yake kuu ni kupuuzwa na kusonga mbele.
 
Sio mahali Wala kifungu kwenye mkataba kinachoashiria kuwa Tanzania inaekekea kwenye korongo refu ambalo hatuwezi kutoka humo milele. Watu wanapinga kwa hisia bila kutoa au kuonyesha evidence. Wanapiga kelele hizo bila kusema nini kifanyike. Kuna maandazi mmoja anasema ni Bora tufanye wenyewe!!!! Unamtazama usoni kisha unatoa machozi ya huruma. Hajui asemalo kwa nchi ambayo hata madawati shuleni bado hayajaenea vyumbani ndio tutaweza kununua mitambo na ujuzi wa kuendesha bandari? Watashindwa TU maana katiba yetu hairuhusu Rais kushindwa jambo.
Hivi akina nyerere wangeuza raslimali zote kipindi kile wananchi walikuwa bado wana uelewa wa chini wangeiba nin?
 
Wapinzani hawana hoja wala ujanja, mama anakaba mpaka "penati", iliyobaki ni hivihivi wacheze "faulo" tu.

Ukiona timu imenza "faulo" ujuwe imezidiwa.
 
wewe ni kilaza hata ulichoandika inawezekana sicho unacho waza
Kilaza!!! Tuisubiri mahakama yetu tukufu iseme nani ni kilaza na nani yuko bomba. Nyie ni watu tunawajua mnatafuta kichaka mjisaidie au mnaogoma kisiondolewe kichaka mlichokukua mnakitumia kujisaidia. Kichaka hiki kitafyekwa ili sote tutumie vyoo kujisaidia.
 
Ccm wataendelea kutawala aise

Kwa style hii

Ova
 
Ccm wataendelea kutawala aise

Kwa style hii

Ova
Huyu Mama Samia ndiye atakaetuvusha kutoka pale tulipokuwa tumekwamia. Ili ufanikiwe ambatana na wengi, mama ameamua kuambatana kwa vitendo na wengi (wakulima, wafugaji na wavuvi). Kwavyovyote vile wapinzani lazima waache ule utamaduni wa kudandia hoja, badala yake watafute hoja imara zitakazowatoa watanzania hapa walipo kiuchumi na kihuduma ili isiwe ileile ya katiba katiba katiba katiba, bandaribandaribandaribandari, mikutanomikutanomikutano, tumetumetumetumetume, vyote hivi havijibu maswali ya njaa, elimu, afya, pesa mfukono.
 
Tusubiri tuone !
Hukumu imetoka, sheria na demokrasia imezingatiwa kitakachofuata ni kuweka shingo yako mbali. Wapinzani leteni hoja nzito msitupotezee muda maana tumeshachelewa sana.
 
Wacha bandari iendeshwe na watu binafsi kama tulivyofanya kwa bia, sigara, Benki ya taifa ya biashara, Airtel, nk. Huwezi kutaka kitu Cha tofauti kwa kufanya vilevile na yaleyale. Wabishi walikuwepo hata wakati wa Nyerere, mwinyi, Mkapa, kikwete, na Magufuli
 
Wapinzani hawana hoja wala ujanja, mama anakaba mpaka "penati", iliyobaki ni hivihivi wacheze "faulo" tu.

Ukiona timu imenza "faulo" ujuwe imezidiwa.
ukicheza na nyani utavuna mabua. Hakuna mtanzania mwenye haja na bandari, watu wenye maslahi yao wanapiga kampeni kwa wananchi juu ya bandari kuuzwa. Yaani bunge na mahakama wote ni wapuuzi kuliko wao. Wanachokitafuta watakipata, mama ni mgumu kuchukia lakini siku akichukia utakiona:
 
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.

Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.

2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.

3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.

4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.

5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.

6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.

Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.

Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kama mikipewa uongozi wa nchi kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.

Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi wapinzani mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi badala ya kujikita kwenye hoja na mbinu za kuwasaidia watanzania kwenye shida zao za msingi zinazowatafuna. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.

Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu badala ya kuokoteza matukio.

Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi ya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.

Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.

Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo, shida za wananchi zinabakia palepale vilevile hata wakibadilisha vyama tawala na viongozi wakuu. Hii inamaana kuwa tatizo sio katiba zao wala tume zao za UCHAGUZI wala rasilimali wala vyama tawala wala viongozi peke yake, bali tatizo liko nje ya bara la afrika na ndani ya mindsets za watu wetu.
Kweli waafrica ni jamii ya nyani na akili zetu zipo matakoni. Yaani mwafrika unasema tatizo la Africa lipo nje ya afrika. Hiki ni kiwango kikubwa sana cha umbumbumbu. Waafrica hatuna akili za kujitawala ndio maana kila kitu tunataka watusaidie watu weupe kufanya.
 
Wacha bandari iendeshwe na watu binafsi kama tulivyofanya kwa bia, sigara, Benki ya taifa ya biashara, Airtel, nk. Huwezi kutaka kitu Cha tofauti kwa kufanya vilevile na yaleyale. Wabishi walikuwepo hata wakati wa Nyerere, mwinyi, Mkapa, kikwete, na Magufuli
Umesahau na TANESCO tuwape watu binafsi maana serikalini imeshindwa kuleta mabadiliko ya kuondoa migao 🤣🤣🤣
 
Ni mjinga pekee atakubaliana na upuuzi wako eti kuwa nchi inauzwa? Hebu niambie wakatoliki wanaomiliki ardhi Tanzania kiasi gani? Kumbuka kula kila mahali ilipo taasisi ya kikatoliki ni sehemu kamili ya Vatican, kila kitu kinachozalishwa kwenye ardhi hiyo kinafahamika na kinafika Vatican. Kwenye bandari sio hivyo, wao wanawekeza TU na Faida tunagawana.
Mnagawana faida kwa uwiano gani?
Kwenye madini mlikuwa mnagawana faida na wazungu?
 
Back
Top Bottom