Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

wahindi ni wajinga tu, hata wao kwa wao wanabaguana tu, wanazo high, middle na lower classes (untouchables). Waafrika wana akili nyingi sana, wamekuwa Rais na makamo Rais wa Marekani. Hivyo mfano wako wa kihindi ni wa hovyo
Nazidi kukusoma uwezo wako wa kufikiri. Yaani Kuwa Rais na Makamu ndio kigezo cha akili kubwa. Naona kuendelea ku argue na wewe hatutafika .
Ila kumbuka kuna msemo wananchi huwa wanasema nitachagua hata jiwe kuliko fulani
 
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.

Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.

2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.

3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.

4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.

5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.

6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.

Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.

Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kama mikipewa uongozi wa nchi kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.

Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi wapinzani mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi badala ya kujikita kwenye hoja na mbinu za kuwasaidia watanzania kwenye shida zao za msingi zinazowatafuna. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.

Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu badala ya kuokoteza matukio.

Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi ya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.

Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.

Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo, shida za wananchi zinabakia palepale vilevile hata wakibadilisha vyama tawala na viongozi wakuu. Hii inamaana kuwa tatizo sio katiba zao wala tume zao za UCHAGUZI wala rasilimali wala vyama tawala wala viongozi peke yake, bali tatizo liko nje ya bara la afrika na ndani ya mindsets za watu wetu.
Mkuu, sasa kwa mikataba ama majadiriano kama haya si ndio watakufa kabisa.
 
Unauza lango la biashsra ,alafu unasema watu ni masikini! Ndiyo maana wanawaambia watanzania ubaya wa mkataba huu
 
Rasilimali zikishauzwa kifisadi hizo barabara au hiyo elimu
itatolewa kwa hela zipi.

So bandari si hoja kwako!

Ndiyo wale mnazeeka na upumbavu wenu? Huko shule mnaenda kusoma ujinga.?
 
Wewe IQ yako ni nyuzi joto -003
Unataka usitake DP World wataiendesha bandari kwa mafanikio. Utake ni hivyo usitake ni hivyohivyo. Wacha Rais aendeshe nchi bila buguza za kizembe. Wenzake waliuza mbuga, wengine wakauza madini/migodi, wengine mashirika ya umma kama ndege, bia, sigara, nyumba za serikali, tausi, twiga, mashamba makubwa bila buguza, Wacha nae atumie nguvu za kikatiba alizonazo kujaribu kuwasaidia watanzania. Kojoa ulale alooo.
 
Mnasahau kuwa Katiba yetu inamruhusu Rais kuteua kila mtu muhimu kama majaji, mawaziri, wakuu wa majesh yetu yote, waziri Mkuu, makamu wa Rais, "spika" na kila mtu? Au hata akili hiyo hamna pia?
 
Umeeleza vizuri shida zote zinazowakabili kiasi watanzania asilimia tisini 90% !

Ila umebananga uliposema eti Katiba mpya haihusiani na vyote ulivyovieleza 😅😅 !

Short and clear ni kwamba ili uweze kubadili hizo hali mbaya ulizozieleza inabidi upate pamoja na mambo mengine lakini pia upate Viongozi bora !!
Viongozi bora wa secta zote watapatikana endapo tu Katiba mpya bora itapatikana !! Na si vinginevyo !!
Kwani ni lazima tuwe na katiba Mpya ndio tupate maji, elimu bora, chakula cha huakika

Kwani katiba iliyopo inazuia vipi watu kula milo mitatu kwa siku, wananchi wa mjini na vijijini kupata maji safi na salama, na pia wananchi kupata elimu bora mpaka ufikirie kwamba tukipata katiba mpya ndo itakuwa suluhisho la ayo.
 
kwaakili yako nyepesi, hivi kuna mtu anaweza kufanikiwa kuuza kipande chetu cha ardhi milele daima dumu? Ukweli wanaopinga ni ama wametumwa, wanatumiwa au ni mazuzu tu wenyewe.
Ninachojua ni kukosekana kwa upendo wa kweli katika taifa, tumejawa chuki unafki na kujipendekeza kupitiliza!kama wewe hapo ni kachawa kilaza fulan!
 
Kwani ni lazima tuwe na katiba Mpya ndio tupate maji, elimu bora, chakula cha huakika

Kwani katiba iliyopo inazuia vipi watu kula milo mitatu kwa siku, wananchi wa mjini na vijijini kupata maji safi na salama, na pia wananchi kupata elimu bora mpaka ufikirie kwamba tukipata katiba mpya ndo itakuwa suluhisho la ayo.
Na ni kwanini Katiba mpya inaogopewa sana na wenye kunufaika nayo ??! 😅😅🙏
 
Nashangaa sana!! kwani katiba hii inazuia watu kufuga ng'ombe mbuzi na kuku? inazuia mtu kulima shamba kubwa la eka 100? anazuia mtu kulala na mkeo? inazuia kwenda kuogelea beach? Na je, Katiba mpya ikipatikana itawapa watu chakula bure? itachimba mambwa ya umeme na ya kumwagilia mashamba yetu? mabomba ya maji yatatoa maziwa badala ya maji?

Zote hizi ni hila za wakoloni tu kutafuta mianya ya kutuvuruga kwa kigezo cha demokrasia. Wazungu walivyokuwa wanazijenga nchi zao hazikuanza na demokrasia wala haki za watu, wanawake, watoto na sijui makundi gani, waliswaga kila mtu azalishe na kulipa kodi ili kupata fedha na mitaji ya kuendesha nchi. Huwezi kuendesha nchi au familia ukafanikiwa kupata maendeleo. Yaani mwanao hataki kwenda shule unamwambia sawa, hataki kuoga unamwambia sawa mwanangu, hataki kumeza dawa ya minyoo unamwambia sawa endelea na michezo yako. Nchi zetu hizi hazijafikia kiwango cha demokrasia na hiari. Kama Magufuli angetumia demokrasia leo hii serikali isingekuwa Dodoma. Ndio maana Mwl. Nyerere mwaka ule wa 1995, aliwahi kusema "I can not let my country go to the dogs" alikuwa anajuwa kuwa akina Mrema hawana wanachojua. Sisemi kuwa Mkataba wa Bandari uko perfect 100% lakini ni bora kujaribu njia tofauti sasa kuliko hiihii ya miaka 61 ya uhuru ambayo wote tunaifahamu ilikuwa ikiwanufaisha sana wachache. Wote ni mashahidi hapa kila wakati ujumbe kutoka Rwanda, Burundi, DRC, Malawi unakuja kugagua mbali zetu kujua kulikoni mizigo yao inachelewa na kuibwa. Haya ni matusi kwa taifa, hata Rais Kagame anatamani hii bandari ingekuwa Rwanda ili muone uchumi wake ungekuwaje.

Maendeleo hayana demokrasia kama ilivyo njaa, ugonjwa, elimu, usafiri, nk. Mama piga lapa usonge mbele, tumechelewa sana kwa kuongeaweeeeee bila kutoa njia mbadala za kusongesha taifa mbele.
 
Ninachojua ni kukosekana kwa upendo wa kweli katika taifa, tumejawa chuki unafki na kujipendekeza kupitiliza!kama wewe hapo ni kachawa kilaza fulan!
wewe ni sawa na yule mwanamke mwenye wivu anaemkataza mumuwe hata kwenda kufanyakazi kwa kuhofia kuwa anakwenda kwa wanawake lakini anataka apewe hela ya kununua chakula na kijola na mumewe huyohuyo asiyekwenda kazini. Huo ndio unaoitwa wivu wa kijinga, wivu wa kike. Unataka mume mlale wote mchana kutwa mkifanyana halafu unamdai chakula. Mnataka Rais asambaze maji kila kona bila hela? Na kuna wapumbavu hawataki hata akope lakini wanataka barabara. Wapuuzi kabisa hawa, Rais makini hawezi kucheleweshwa na wapuuzi kama hawa. Sasa naelewa kwanini Magufuli alikuwa akiwatwanga vibaya sana watu wa hivi.
 
Na ni kwanini Katiba mpya inaogopewa sana na wenye kunufaika nayo ??! 😅😅🙏
Swali hilo ungemuuliza Magufuli, kwakuwa yeye alisema kabisa sibadili Katiba ng'o, maana kwenye ilani na kampeni yake hakuahidi Katiba popote. ni upuuzi kuuliza swali hili kwa Rais ambae amesema anataka kuandika Katiba mpya.
 
Vyama vyetu vya upinzani nchini ni reactive sio proactive. Watanzania wanazo shida zao zilizogandamana na ngozi ya miili yao utadhani wameumbwa na kuzaliwa nazo.

Mpaka leo watanzania Wana shida zifuatazo:.
1. Chakula: hadi Leo watu wetu wengi hawana chakula Cha kuwatosha kula Milo 3 kwa siku kwa mwaka mzima. 90% ya wakulima bado wanatumia jembe la mkono kulima, mbegu za hovyohovyo na kutegemea mvua.

2. Uchumi: Hakuna masoko na bei za uhakika ya kuuzia mazao, mifugo, na samaki wao. Watu wetu wengi ni maskini sana hata kama wanavuja jasho jingi sana.

3. Ajira: vijana wetu wengi hawana ajira na wenye ajira wanalipwa hela kidogo sana. Hii inasababisha rushwa na huduma mbovu.

4. Elimu: Elimu yetu ni duni sana kutokana na ukosefu wa fedha za kulipa walimu vizuri na wakutosha, kununua vifaa vya kufundishia na kuwa na walimu wenye sifa na ujuzi.

5. Maji: mpaka Leo watu wetu hawana maji ya kunywa.

6. Wizi wa fedha na mali za wananchi unaofanywa na wenye mamlaka.

Mambo yote haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na katiba mpya, tume ya uchaguzi Wala ukodishaji wa bandari.

Jengeni hoja ni kwa vipi mtaondoa shida hizi za wananchi kwa njia nyepesi na rahisi sana kama mikipewa uongozi wa nchi kuliko wanavyofanya CCM kwa miaka 60 ya Uhuru.

Sisi watanzania tunawaona hata nyinyi wapinzani mnababaisha TU kuwaona kama mko tayari kufa, kufungwa au kuitukana serikali kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi badala ya kujikita kwenye hoja na mbinu za kuwasaidia watanzania kwenye shida zao za msingi zinazowatafuna. Kuna nchi duniani hazina uchaguzi lakini maisha ya wananchi wao yanakwenda vizuri.

Tuambieni namna mtakavyotafuta fedha za kuindesha nchi, namna mtavyokuwa na mahakama zinazomua kwa haki, mtavyobadilisha kilimo, mtakavyotafuta masoko ya mazao mifugo na samaki, mtakavyoleta ajira na mishahara mikubwa kwa watumishi na mtakavyokuza elimu badala ya kuokoteza matukio.

Kule Kenya wapinzani wanahoja kwakuwa wanapinga ukubwa wa Baraza la mawaziri na matumizi ya hovyo, hawapingi uwekezaji wao ambao 95% ni wakoloni wanaomiliki uchumi wao.

Wapinzani wetu sisi wanapinga mambo ya kadhi, bandari kupewa mwarabu, katiba na tume ya uchaguzi mpya inayoweza kuwaingiza na wao madarakani ili wale.

Hatujaona nchi ya Afrika iliyopata nafuu za kiuchumi, kielimu, kihuduma baada ya wapinzani kuingia Ikulu, haipo, shida za wananchi zinabakia palepale vilevile hata wakibadilisha vyama tawala na viongozi wakuu. Hii inamaana kuwa tatizo sio katiba zao wala tume zao za UCHAGUZI wala rasilimali wala vyama tawala wala viongozi peke yake, bali tatizo liko nje ya bara la afrika na ndani ya mindsets za watu wetu.
Watz tunapenda kulaumu badala ya kuhusika Moja Kwa Moja,Sasa unamtuma Nani Fanya wewe sehemu Yako na wewe

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Tunaweka rejea ya wanaoupigia chapuo huu mkataba, wewe na walio pendezwa na bandiko lako hili wote ni adui wa Tanganyika. Hoja yako namba mbili ni kuhusu uchumi. Unafkiri bandari siyo uchumi?
 
Wewe ni mpumbavu
 
Watz tunapenda kulaumu badala ya kuhusika Moja Kwa Moja,Sasa unamtuma Nani Fanya wewe sehemu Yako na wewe

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Mimi ninafanya sehemu yangu; napiga kura, nafanyakazi, nalipa PAYE, nafuga, nalima, nafanya biashara, nazaa, nasomesha, natunza wazazi wangu, natii sheria bila shuruti, nk. Ninaiamini serikali kwenye hili,
 
Unauza lango la biashsra ,alafu unasema watu ni masikini! Ndiyo maana wanawaambia watanzania ubaya wa mkataba huu
Kaka unataka usitake badnari yetu hii hatuwezi kuiendesha wenyewe ili kushindana na
Mkuu, sasa kwa mikataba ama majadiriano kama haya si ndio watakufa kabisa.
Ni kama watu waliobanwa na haja ndogo, kila kichaka ni fursa kwao. Wakikosa kichaka watatumia hata gari bovu lililoegeshwa pembeni hata kama mgongo uko wazi. Dunia imesonga mbele sana kibiashara na kimaendeleo, hakuna mippaka ya nchi tena. Ni jambo la ajabu kuona mtu katika karne hii anaogopa uwekezaji eti nchi itauzwa. Pale Dubai ukifika kila kitu ni cha wageni, kuna wageni wa aina zote pale waliowekeza na wanaospend. Ukienda Japan, Singapore, Marekani hali ni hiyohiyo. Nimetembea pale Marekani kwenye maduka yao utadhani uko China, kila kitu ni Made in China, Korea na Banana Republic. Maviwanda na maduka makubwa pale Marekani ni wageni kama waisrael, wahindi,nk. Shida yetu ni ama exposure ndogo, ujinga au kutumiwa na wengine, baaaasi!!
 
Back
Top Bottom