Usichokijua ni bora ukae kimya, maana kama hujui umuhimu wa mikutano ya hadhara ya vyama siasi nakushauri uachane na mambo ya siasa!.Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Umechukua hatua gani kwa hayo yote unayoyalalamikia?Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Kwani lile ni bunge? Niambie nani aliyeshinda kihalali mle ndani? Mikutano inawaweka sawa wananchi kwamba wakiibiwa kura wawe tayari kufa kutetea haki Yao. Siyo wewe unayepelekwa kama ling'ombeMikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Mbwa mkali akitupiwa mfupa, habweki tenaWhat do u mean?
Mkuu,
Unaelewa hata hapa unafanya mkutano wa kisiasa kueleza kwamba mikutano ya kisiasa haina maana?
Bila kuhukumu usahihi au upotofu wa hoja yako, unaelewa kwamba, bila kuwa na mikutano ya kisiasa, hata hiyo hoja yako kwamba mikutano ya kisiasa haina maana isingesikika?
Unaelewa kwamba una ji contradict?
Kwani ni lazima utumie kauli chafu dhidi ya mwenzako?? Acha hizo bana heshima ni kitu cha bureUlimaliza la saba we kenge?
Ana maana wewe ni umbwa wa CCMWhat do u mean?