Wapinzani tuwe na busara za kisiasa. Mikutano ya kisiasa sio ishu ya maana hata huko USA na Magharibi chaguzi zikiisha siasa zinahamia bungeni.

Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Usichokijua ni bora ukae kimya, maana kama hujui umuhimu wa mikutano ya hadhara ya vyama siasi nakushauri uachane na mambo ya siasa!.
 
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Umechukua hatua gani kwa hayo yote unayoyalalamikia?
 
Hao wabunge watarajiwa sera zao wakazinadi wapi ili wachaguliwe na kuingia bungeni kulifanya bunge liwe na meno? Wakazinadi sera zao chumbani kwa wake na wanaume zao?
 
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?

Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?

Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Kwani lile ni bunge? Niambie nani aliyeshinda kihalali mle ndani? Mikutano inawaweka sawa wananchi kwamba wakiibiwa kura wawe tayari kufa kutetea haki Yao. Siyo wewe unayepelekwa kama ling'ombe
 
Mkuu,

Unaelewa hata hapa unafanya mkutano wa kisiasa kueleza kwamba mikutano ya kisiasa haina maana?

Bila kuhukumu usahihi au upotofu wa hoja yako, unaelewa kwamba, bila kuwa na mikutano ya kisiasa, hata hiyo hoja yako kwamba mikutano ya kisiasa haina maana isingesikika?

Unaelewa kwamba una ji contradict?

Ungemweleza faida za mikutano ya kisiasa ili shutuma yako dhidi yake iwe na maana
 
Back
Top Bottom