Usichokijua ni bora ukae kimya, maana kama hujui umuhimu wa mikutano ya hadhara ya vyama siasi nakushauri uachane na mambo ya siasa!.Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.