Hicho kikundi kitapigiwa kura na wakurya tu.Hayupo mtu wa Kanda ya ziwa wakuwapigia kura chagga Gang,hata Kama CCM itaweka jiwe basi watu wa huku watalipa kura hilo jiwe.
Hiki chama kina udini,ukabila na ukanda,hakifai kupewa mamlaka ya juu.chenyewe kiendelee tu kujiendesha ki-saccos
Utashinda kwa tume ipi?Na kuna political sentiments huko sababu ya "hisia flani," wakijipanga watazoa kura za kutosha na ndio sehemu ukishinda kwa kishindo, URAis wako. My political analysis sioni ccm ikiwa na nguvu hayo maeneo 2025. Wafanye tu uchunguzi wataelewa, watu wamenyamaza tu.
Wakishinda watatangazwa na nani?Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.
Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Kwani upinzani ni CHADEMA pekee? wapeni CUF, ACT n.kKanda ya Ziwa tangu chadema washiriki kutuita washamba na sukuma gang tumeamua hatuwataki Tena heri kumpa Ibilisi kuliko Mbowe gang.
Zitto ni mchuuzi yeye umakamu unatosha kabisaAkili ndogo sana hii.
Ukabila 2025?
Shame on you!
Hilo la kwanza.
La pili, nani kakuambia 2025 kutakuwa na Uchaguzi?
2020 ulikuwa Uchafuzi kwa sababu zilizo wazi. Ukifanyika Uchaguzi, CCM inaenda kuwa Chama cha Upinzani, Bara na Zanzibar.
Kuna Mtanzania ambaye hajui kuwa Maalim Seif alikuwa anamshinda Mgombea wa CCM kwa wingi wa kura lakini anaapishwa aliyeshindwa?
Chadema inaelekea kuzinduka, na ACT Wazalendo inatakiwa isimamie haki yao ya ushindi Zanzibar, badala ya kuridhika na usindikizaji unaofanyika wa Umakamu wa kwanza wa Rais wakati wameshinda.
Kweli tupuKama hakuna Tume Huru ya uchaguzi itakuwa ni yale yale ya Paukwa Pakawa.
Itafute hio maana ya Paukwa Pakawa.
NDO WANAVYOJIPAMBANUA HIVYO KULE MTAANI KWAO ROMBOKwani upinzani ni CHADEMA pekee? wapeni CUF, ACT n.k
Kuwekeza kwenye kanda ya wapi au wapi...Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.
Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Mimi ni wa Kanda ya Ziwa, na siamini katika Ukabila wala Ukanda.Hauko serious, CHADEMA hii ishinde uchaguzi ? Hii yenye ukaskazini na matusi kwa wanakanda ya Ziwa ? Haitatokea kamwe. Tuko tayari CCM itawale milele lakini siyo CHADEMA.
HahhahhhaaaMwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.
Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Kuna jamaa juzi maeneo ya Geita alikwenda kuhamasisha chanjo, alipoona hawamuelewi akatamuka 'mnang'ang'ania msimamo wa Magufuli,alishakufa hayupo'Wapinzani wamepoteza mwelekeo. Katika statement zao wameshindwa kujua nini cha kuongea wao mpaka Leo ni magufuli magufuli . Magufuli hayupo tena duniani amefariki na aliyepo na Samia . Katika mazungumxo yao wanamzungumzia rais magufuli badala ya Rais Samia . Hivi utamwambia Msukuma wa kule Shinyanga au kwokwote magufuli alikuepo mbaya upate kura yake. Kwa hii trend inawezekana upinzani ukapata kura chache 2025 tokea uchaguzi wa 1995
Katika kanda ambayo Raisi Magufuli kwa mara ya kwanza alizomewa hadharani ni kanda ya ziwa,tena zaidi ya mkoa mmoja, Acheni kujificha kwenye ujinga wa ukabila-Ulishapitwa na wakati
Kuna jamaa juzi maeneo ya Geita alikwenda kuhamasisha chanjo, alipoona hawamuelewi akatamuka 'mnang'ang'ania msimamo wa Magufuli,alishakufa hayupo'
Walimugombania Kama mpira wa Kona,akatolewa nje na hawakutaka awepo kabisa.
JPM anaishi mioyoni mwa watu.
Wewe ni taahira tu kama wengine? Kwanza ninaimani kuwa bandari kigoma hauijua maana ungejua usingekuja hapa kutuaminisha mzigo wa Congo! Mzigo wa Congo asilimia 80 unapitia Zambia! Hata bandarini ya kigoma haiifikii bandarini ya mwanza kwa mapato usipende kusikiliza siasa uchwara za akina Zitto! Yaani kwako wewe unaona mwanza ukubwa na umuhimu wake ni mdogo ila Congo inaumuhimu zaidi? Nikukumbushe tu saizi viwanda vingi vya construction vinajengwa Congo kwa hiyo issue ya mizigo kama Nondo na Cement itapungua kama sio kuisha kabisa! Lakini kwa Kanda ya Ziwa tutapata mzigo na abiria pia wa kutosha!Mimi ni wa Kanda ya Ziwa, na siamini katika Ukabila wala Ukanda.
Siamini kuwa SGR kwenda Mwanza badala ya Kigoma kuna manufaa kwa watoto wangu na wajukuu wangu.
Naamini katika haki.
Naamini katika Demokrasia.
Naamini katika usawa.
Ninaamini kuwa Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Ndiyo sababu naamini kuwa SGR kwenda Kigoma kusafirisha mizigo ya Kongo, DRC, kuna tija zaidi kwa kizazi changu kuliko kwenda Kanda ya Ziwa kwa lengo la kubeba mizigo ya Rwanda na Uganda ambayo baadaye inaelekea huko huko DRC kuchochea machafuko
Hahhahhhaaa
Nimecheka kwa dharau sana.
hapo ndio mtajua hamjui
Yaani baada ya kumtusi mwendazake na kila aliyemuunga mkono halafu mkawapa majina ya ajabu sijui SUKUMAGANG leo mnajipanga kwenda kwenye ngome yao kuwaomba kura
Jipangeni sana lakini naamini mtajisaidia mlipojenga choo na si vinginevyo
CCM na wafuasi wao wamejizuia na kumstiri Maalim Seif pamoja na kuandamwa na kashfa za ubasha sijui ushoga na mengine mengi lakini waliheshimu umauti wake...
Nyie mpaka leo mnasumbuka na marehem halafu eti mnataka kwenda kwa ndugu zake wale sukuma gang.
NJOONI MTAAMBULIA 10%