Akili ndogo sana hii.
Ukabila 2025?
Shame on you!
Hilo la kwanza.
La pili, nani kakuambia 2025 kutakuwa na Uchaguzi?
2020 ulikuwa Uchafuzi kwa sababu zilizo wazi. Ukifanyika Uchaguzi, CCM inaenda kuwa Chama cha Upinzani, Bara na Zanzibar.
Kuna Mtanzania ambaye hajui kuwa Maalim Seif alikuwa anamshinda Mgombea wa CCM kwa wingi wa kura lakini anaapishwa aliyeshindwa?
Chadema inaelekea kuzinduka, na ACT Wazalendo inatakiwa isimamie haki yao ya ushindi Zanzibar, badala ya kuridhika na usindikizaji unaofanyika wa Umakamu wa kwanza wa Rais wakati wameshinda.