Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

Hayupo mtu wa Kanda ya ziwa wakuwapigia kura chagga Gang,hata Kama CCM itaweka jiwe basi watu wa huku watalipa kura hilo jiwe.

Hiki chama kina udini,ukabila na ukanda,hakifai kupewa mamlaka ya juu.chenyewe kiendelee tu kujiendesha ki-saccos
Hicho kikundi kitapigiwa kura na wakurya tu.

attachments.jpg
 
Kanda ya Ziwa tangu chadema washiriki kutuita washamba na sukuma gang tumeamua hatuwataki Tena heri kumpa Ibilisi kuliko Mbowe gang.
 
Na kuna political sentiments huko sababu ya "hisia flani," wakijipanga watazoa kura za kutosha na ndio sehemu ukishinda kwa kishindo, URAis wako. My political analysis sioni ccm ikiwa na nguvu hayo maeneo 2025. Wafanye tu uchunguzi wataelewa, watu wamenyamaza tu.
Utashinda kwa tume ipi?
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Wakishinda watatangazwa na nani?
 
Akili ndogo sana hii.
Ukabila 2025?
Shame on you!
Hilo la kwanza.
La pili, nani kakuambia 2025 kutakuwa na Uchaguzi?
2020 ulikuwa Uchafuzi kwa sababu zilizo wazi. Ukifanyika Uchaguzi, CCM inaenda kuwa Chama cha Upinzani, Bara na Zanzibar.
Kuna Mtanzania ambaye hajui kuwa Maalim Seif alikuwa anamshinda Mgombea wa CCM kwa wingi wa kura lakini anaapishwa aliyeshindwa?
Chadema inaelekea kuzinduka, na ACT Wazalendo inatakiwa isimamie haki yao ya ushindi Zanzibar, badala ya kuridhika na usindikizaji unaofanyika wa Umakamu wa kwanza wa Rais wakati wameshinda.
Zitto ni mchuuzi yeye umakamu unatosha kabisa
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Kuwekeza kwenye kanda ya wapi au wapi...
Kuwekeza kwenye uchanguzi wa 2025...
Juhudi zozote mtakazofanya ni kujipotezea muda!
Tambueni vipaumbele vyenu... Kama hamna nawapa:
KATIBA MPYA: itakayoleta Tume Huru ya Uchaguzi, Uhuru wa Bunge + Mahamaka, ukomo wa madaraka ya rais na kurejesha mamlaka kwa raia wa Tanzania...
Kurahisisha: ile ya Jaji Warioba iboreshwe.
 
Hauko serious, CHADEMA hii ishinde uchaguzi ? Hii yenye ukaskazini na matusi kwa wanakanda ya Ziwa ? Haitatokea kamwe. Tuko tayari CCM itawale milele lakini siyo CHADEMA.
Mimi ni wa Kanda ya Ziwa, na siamini katika Ukabila wala Ukanda.
Siamini kuwa SGR kwenda Mwanza badala ya Kigoma kuna manufaa kwa watoto wangu na wajukuu wangu.
Naamini katika haki.
Naamini katika Demokrasia.
Naamini katika usawa.
Ninaamini kuwa Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Ndiyo sababu naamini kuwa SGR kwenda Kigoma kusafirisha mizigo ya Kongo, DRC, kuna tija zaidi kwa kizazi changu kuliko kwenda Kanda ya Ziwa kwa lengo la kubeba mizigo ya Rwanda na Uganda ambayo baadaye inaelekea huko huko DRC kuchochea machafuko
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Hahhahhhaaa
Nimecheka kwa dharau sana.
hapo ndio mtajua hamjui
Yaani baada ya kumtusi mwendazake na kila aliyemuunga mkono halafu mkawapa majina ya ajabu sijui SUKUMAGANG leo mnajipanga kwenda kwenye ngome yao kuwaomba kura
Jipangeni sana lakini naamini mtajisaidia mlipojenga choo na si vinginevyo

CCM na wafuasi wao wamejizuia na kumstiri Maalim Seif pamoja na kuandamwa na kashfa za ubasha sijui ushoga na mengine mengi lakini waliheshimu umauti wake...
Nyie mpaka leo mnasumbuka na marehem halafu eti mnataka kwenda kwa ndugu zake wale sukuma gang.
NJOONI MTAAMBULIA 10%
 
Wapinzani wamepoteza mwelekeo. Katika statement zao wameshindwa kujua nini cha kuongea wao mpaka Leo ni magufuli magufuli . Magufuli hayupo tena duniani amefariki na aliyepo na Samia . Katika mazungumxo yao wanamzungumzia rais magufuli badala ya Rais Samia . Hivi utamwambia Msukuma wa kule Shinyanga au kwokwote magufuli alikuepo mbaya upate kura yake. Kwa hii trend inawezekana upinzani ukapata kura chache 2025 tokea uchaguzi wa 1995
Kuna jamaa juzi maeneo ya Geita alikwenda kuhamasisha chanjo, alipoona hawamuelewi akatamuka 'mnang'ang'ania msimamo wa Magufuli,alishakufa hayupo'
Walimugombania Kama mpira wa Kona,akatolewa nje na hawakutaka awepo kabisa.
JPM anaishi mioyoni mwa watu.
 
Chadema hamtapewa ikulu hata kwa kumwaga damu.

Uchaga na ukasikazn unawamaliza.

Samia atamkabidhi mwanaccm mwingine ifikapo 2030 uhai ukiwepo.
 
Katika kanda ambayo Raisi Magufuli kwa mara ya kwanza alizomewa hadharani ni kanda ya ziwa,tena zaidi ya mkoa mmoja, Acheni kujificha kwenye ujinga wa ukabila-Ulishapitwa na wakati

Bora hata umeusema huu ukweli, mpaka akaona isiwe tabu bora apore uchaguzi. Halafu hawa jamaa huwa wanadhani hautujui huo ukweli. Alichofanikiwa Magufuli baada ya kupora uchaguzi ni kuondoa hamasa ya watu kupiga kura. Itachukua muda mrefu wananchi kurudisha imani ya kupiga kura.

Bila katiba mpya itakayokuwa na tume huru ya uchaguzi watu hawatajitokeza kupiga tena kura, hali hii itapelekea kutokea machafuko huko mbeleni ambayo ndio yataleta mabadiliko ya kweli.
 
Kuna jamaa juzi maeneo ya Geita alikwenda kuhamasisha chanjo, alipoona hawamuelewi akatamuka 'mnang'ang'ania msimamo wa Magufuli,alishakufa hayupo'
Walimugombania Kama mpira wa Kona,akatolewa nje na hawakutaka awepo kabisa.
JPM anaishi mioyoni mwa watu.

Weka picha ya hilo tukio. Kama watu walikuwa wanampotezea akiwa hai, ndio itakuwa sasa?
 
Mimi ni wa Kanda ya Ziwa, na siamini katika Ukabila wala Ukanda.
Siamini kuwa SGR kwenda Mwanza badala ya Kigoma kuna manufaa kwa watoto wangu na wajukuu wangu.
Naamini katika haki.
Naamini katika Demokrasia.
Naamini katika usawa.
Ninaamini kuwa Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Ndiyo sababu naamini kuwa SGR kwenda Kigoma kusafirisha mizigo ya Kongo, DRC, kuna tija zaidi kwa kizazi changu kuliko kwenda Kanda ya Ziwa kwa lengo la kubeba mizigo ya Rwanda na Uganda ambayo baadaye inaelekea huko huko DRC kuchochea machafuko
Wewe ni taahira tu kama wengine? Kwanza ninaimani kuwa bandari kigoma hauijua maana ungejua usingekuja hapa kutuaminisha mzigo wa Congo! Mzigo wa Congo asilimia 80 unapitia Zambia! Hata bandarini ya kigoma haiifikii bandarini ya mwanza kwa mapato usipende kusikiliza siasa uchwara za akina Zitto! Yaani kwako wewe unaona mwanza ukubwa na umuhimu wake ni mdogo ila Congo inaumuhimu zaidi? Nikukumbushe tu saizi viwanda vingi vya construction vinajengwa Congo kwa hiyo issue ya mizigo kama Nondo na Cement itapungua kama sio kuisha kabisa! Lakini kwa Kanda ya Ziwa tutapata mzigo na abiria pia wa kutosha!
 
CHADEMA hawasikii kazi yao kuleta habari za uzushi kwa Magufuli badala ya kuachana nae ili waweze kuteka maeneo aliyokuwa anakubalika! Ni kama leo iende Dodoma uanze kumtusi Magufuli halafu uombe kura unafikiri itapata za kutosha!?
Hahhahhhaaa
Nimecheka kwa dharau sana.
hapo ndio mtajua hamjui
Yaani baada ya kumtusi mwendazake na kila aliyemuunga mkono halafu mkawapa majina ya ajabu sijui SUKUMAGANG leo mnajipanga kwenda kwenye ngome yao kuwaomba kura
Jipangeni sana lakini naamini mtajisaidia mlipojenga choo na si vinginevyo

CCM na wafuasi wao wamejizuia na kumstiri Maalim Seif pamoja na kuandamwa na kashfa za ubasha sijui ushoga na mengine mengi lakini waliheshimu umauti wake...
Nyie mpaka leo mnasumbuka na marehem halafu eti mnataka kwenda kwa ndugu zake wale sukuma gang.
NJOONI MTAAMBULIA 10%
 
Tatizo Tz hakuna chama chenye nguvu zaidi ya CCM hv vingine ni NGO'S tu, lakini kweli 2025 kama kikitokea chama chenye nguvu kutakua na upinzani mkubwa sana.
 
Kwanza kabla hamjaja Kanda ya Ziwa tutamtaka Lissu na Mbowe watuambie kwa nn walufanya sherehe baada ya kusikia Magufuli kafariki.
 
Back
Top Bottom