Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5


Acha kudanganya watu. Mbona Lissu alimsema Magufuri kwao chato na watu wakashangilia kipindi Cha uchaguzi 2020. Watu waogooe kumsema Magufuri kisa ukabila. Yeye alipokuwa anawatesa CHADEMA ilikuwa vizuri. Usizibe watu mdomo kwa madhira waliofanyiwa na Magufuri. Kwani Kuna jipya gani hata CCM ikishinda 2025?. Lazima wote waliodhurumiwa na Magufuri waachee waseme, Mambo ya usukuma bakini nayo huko kwenu.
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Chadema bwana, wenzenu Wana cha kuonyesha nyie mnapiga Domo afu mnayegemea nani awachague?
 
Na hili ndo litalo wafelisha vibaya

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Haya endeleeni kushangiliwa na wahuni 500 mkapaoteza kula 100,000 kwenye Jimbo.
 
Matusi na hoja havikai nyumba moja.
Unahitaji msaada wa kitabibu.
Mzigo wa Congo unaopitia Zambia, haubebwi na TRC.
Asilimia 76 ya mapato ya TRC yanatokana na mzigo wa kwenda DRC.
Unapolinganisha Mwanza na Congo unajichanganya.
Congo ni Nchi yenye eneo kubwa kuliko Tanzania, wakati Mwanza ni Mji katika Tanzania.
Hauwezi kulinganisha Nchi na Mji.
 
Nikisema mwanza manisha kanda ya ziwa! Mwanza ni destination ya mzigo wa Uganda pia upande wa isaka mzigo wa kahama na Rwanda! Hapo unaposema Congo ni kubwa mi hata sikuelewi maana mzigo wa Congo kupitia kigoma unahudumia jimbo la Kivu kaskazini! Sasa usijumuishe Congo yote jifunze hata kusoma Ramani! Mzigo ya kisangani inapitia mombasa via Uganda! Sasa nikuulize umuhimu ya jimbo la Kivu ukilinganisha na kanda ya ziwa,Uganda na Randwa! Kwa idadi ya watu na uchumi!
 
..mwaka 2010 to 2015 cdm waliwekeza kwelikweli ktk kanda ya ziwa.

..sasa ccm walipoteua mgombea Uraisi mzaliwa wa kanda ya ziwa cdm wakawa hawana chao tena ktk kanda hiyo.

..cdm wanatakiwa wawekezaji nchi nzima ili kuepusha kilichowatokea 2015. waingereza wana msemo wao, " do not put all your eggs in one basket."

NB.

..mwaka 1995 mrema alikuwa anaongea mkono na ndugu zetu wamachinga.

..ccm walipomteua Ben Mkapa kuwa mgombea wamachinga wakambwaga Mrema na kumuunga mkono mtu wa kwao.
 
Kumbe nimetoa ushauri mzuri.
 
Nani alikwambia maccm huwa yanashinda kwa kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…