Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

Wapinzani wamepoteza mwelekeo. Katika statement zao wameshindwa kujua nini cha kuongea wao mpaka Leo ni magufuli magufuli . Magufuli hayupo tena duniani amefariki na aliyepo na Samia . Katika mazungumxo yao wanamzungumzia rais magufuli badala ya Rais Samia . Hivi utamwambia Msukuma wa kule Shinyanga au kwokwote magufuli alikuepo mbaya upate kura yake. Kwa hii trend inawezekana upinzani ukapata kura chache 2025 tokea uchaguzi wa 1995

Acha kudanganya watu. Mbona Lissu alimsema Magufuri kwao chato na watu wakashangilia kipindi Cha uchaguzi 2020. Watu waogooe kumsema Magufuri kisa ukabila. Yeye alipokuwa anawatesa CHADEMA ilikuwa vizuri. Usizibe watu mdomo kwa madhira waliofanyiwa na Magufuri. Kwani Kuna jipya gani hata CCM ikishinda 2025?. Lazima wote waliodhurumiwa na Magufuri waachee waseme, Mambo ya usukuma bakini nayo huko kwenu.
 
Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao.

Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
Chadema bwana, wenzenu Wana cha kuonyesha nyie mnapiga Domo afu mnayegemea nani awachague?
 
Wapinzani wamepoteza mwelekeo. Katika statement zao wameshindwa kujua nini cha kuongea wao mpaka Leo ni magufuli magufuli . Magufuli hayupo tena duniani amefariki na aliyepo na Samia . Katika mazungumxo yao wanamzungumzia rais magufuli badala ya Rais Samia . Hivi utamwambia Msukuma wa kule Shinyanga au kwokwote magufuli alikuepo mbaya upate kura yake. Kwa hii trend inawezekana upinzani ukapata kura chache 2025 tokea uchaguzi wa 1995
Na hili ndo litalo wafelisha vibaya

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Acha kudanganya watu. Mbona Lissu alimsema Magufuri kwao chato na watu wakashangilia kipindi Cha uchaguzi 2020. Watu waogooe kumsema Magufuri kisa ukabila. Yeye alipokuwa anawatesa CHADEMA ilikuwa vizuri. Usizibe watu mdomo kwa madhira waliofanyiwa na Magufuri. Kwani Kuna jipya gani hata CCM ikishinda 2025?. Lazima wote waliodhurumiwa na Magufuri waachee waseme, Mambo ya usukuma bakini nayo huko kwenu.
Haya endeleeni kushangiliwa na wahuni 500 mkapaoteza kula 100,000 kwenye Jimbo.
 
Wewe ni taahira tu kama wengine? Kwanza ninaimani kuwa bandari kigoma hauijua maana ungejua usingekuja hapa kutuaminisha mzigo wa Congo! Mzigo wa Congo asilimia 80 unapitia Zambia! Hata bandarini ya kigoma haiifikii bandarini ya mwanza kwa mapato usipende kusikiliza siasa uchwara za akina Zitto! Yaani kwako wewe unaona mwanza ukubwa na umuhimu wake ni mdogo ila Congo inaumuhimu zaidi? Nikukumbushe tu saizi viwanda vingi vya construction vinajengwa Congo kwa hiyo issue ya mizigo kama Nondo na Cement itapungua kama sio kuisha kabisa! Lakini kwa Kanda ya Ziwa tutapata mzigo na abiria pia wa kutosha!
Matusi na hoja havikai nyumba moja.
Unahitaji msaada wa kitabibu.
Mzigo wa Congo unaopitia Zambia, haubebwi na TRC.
Asilimia 76 ya mapato ya TRC yanatokana na mzigo wa kwenda DRC.
Unapolinganisha Mwanza na Congo unajichanganya.
Congo ni Nchi yenye eneo kubwa kuliko Tanzania, wakati Mwanza ni Mji katika Tanzania.
Hauwezi kulinganisha Nchi na Mji.
 
Nikisema mwanza manisha kanda ya ziwa! Mwanza ni destination ya mzigo wa Uganda pia upande wa isaka mzigo wa kahama na Rwanda! Hapo unaposema Congo ni kubwa mi hata sikuelewi maana mzigo wa Congo kupitia kigoma unahudumia jimbo la Kivu kaskazini! Sasa usijumuishe Congo yote jifunze hata kusoma Ramani! Mzigo ya kisangani inapitia mombasa via Uganda! Sasa nikuulize umuhimu ya jimbo la Kivu ukilinganisha na kanda ya ziwa,Uganda na Randwa! Kwa idadi ya watu na uchumi!
 
..mwaka 2010 to 2015 cdm waliwekeza kwelikweli ktk kanda ya ziwa.

..sasa ccm walipoteua mgombea Uraisi mzaliwa wa kanda ya ziwa cdm wakawa hawana chao tena ktk kanda hiyo.

..cdm wanatakiwa wawekezaji nchi nzima ili kuepusha kilichowatokea 2015. waingereza wana msemo wao, " do not put all your eggs in one basket."

NB.

..mwaka 1995 mrema alikuwa anaongea mkono na ndugu zetu wamachinga.

..ccm walipomteua Ben Mkapa kuwa mgombea wamachinga wakambwaga Mrema na kumuunga mkono mtu wa kwao.
 
Kumbe nimetoa ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom