econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wapinzani wamepoteza mwelekeo. Katika statement zao wameshindwa kujua nini cha kuongea wao mpaka Leo ni magufuli magufuli . Magufuli hayupo tena duniani amefariki na aliyepo na Samia . Katika mazungumxo yao wanamzungumzia rais magufuli badala ya Rais Samia . Hivi utamwambia Msukuma wa kule Shinyanga au kwokwote magufuli alikuepo mbaya upate kura yake. Kwa hii trend inawezekana upinzani ukapata kura chache 2025 tokea uchaguzi wa 1995
Acha kudanganya watu. Mbona Lissu alimsema Magufuri kwao chato na watu wakashangilia kipindi Cha uchaguzi 2020. Watu waogooe kumsema Magufuri kisa ukabila. Yeye alipokuwa anawatesa CHADEMA ilikuwa vizuri. Usizibe watu mdomo kwa madhira waliofanyiwa na Magufuri. Kwani Kuna jipya gani hata CCM ikishinda 2025?. Lazima wote waliodhurumiwa na Magufuri waachee waseme, Mambo ya usukuma bakini nayo huko kwenu.