Wapinzani wa Afrika na siasa za majitaka kunavyowafelisha

Mwangazza

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
34,153
Reaction score
51,777
Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu.

Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda Russia kama mbadala wa USA/ulaya.

Ni kwamba hamjui Sera yetu ya mambo ya nje ya muda mrefu “Marafiki kwa wote” .? Ni kweli kuna maswahibu mmepitia au mnapitia ndiyo sababu ya kusema uongo kwenye kila kitu.?
Kwa namna hii hatutajenga Taifa tutaendelea kulaumiana kila leo.
 
Jengeni nyinyi hilo taifa nani kawazuia, mliweza kufanya mlichoita uchaguzi mnashindwaje kujenga hilo taifa lenu nguruwe wa mama nyinyi.
 
Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu.

Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda Russia kama mbadala wa USA/ulaya.

Ni kwamba hamjui Sera yetu ya mambo ya nje ya muda mrefu “Marafiki kwa wote” .? Ni kweli kuna maswahibu mmepitia au mnapitia ndiyo sababu ya kusema uongo kwenye kila kitu.?
Kwa namna hii hatutajenga Taifa tutaendelea kulaumiana kila leo.
Samia mwenyewe alisema hivyo!
 
Kukosoa sio tatizo ila kukosoa kwa data za kutunga ndilo tatizo.
Sasa kama rais kaingia madarakani kwa kura za uongo tena wa wazi, unatoa wapi uhalali wa kutaka ukosolewe kwa data?
 
Kwa hiyo Rais akiwa wa hovyo, na sisi wapinzani tunaendeleza uhovyo wake ?
 
Kama unaumizwa na hicho unachokiita uongo usingesubiri kwa wapinzani, maana kuna hilo kubwa na la wazi. Sidhani kama wapinzani wanahitaji ushauri wako. Kama ushauri wako una maana ungeanza nao huko ccm.
 
Hivi mtu kama hayupo upinzani, ni lazima awe upande wa Ccm ?
 
Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu.

Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda Russia kama mbadala wa USA/ulaya.

Ni kwamba hamjui Sera yetu ya mambo ya nje ya muda mrefu “Marafiki kwa wote” .? Ni kweli kuna maswahibu mmepitia au mnapitia ndiyo sababu ya kusema uongo kwenye kila kitu.?
Kwa namna hii hatutajenga Taifa tutaendelea kulaumiana kila leo.
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
Nionyeshe post umetoa ushauri wa hivi kwa ccm.
Hii ni useless comment.

Kwani huu mtandao umefungwa kwamba kuanzia jana hakutakuwa na room ya kutoa huo ushauri?
 
Back
Top Bottom