- Thread starter
- #21
Huwezi kunipangia wapi pa kuanzia unless kama ungekuwa umenipa tender ya kutoa hiyo huduma.Ungeanza na ushauri huo. Hapa ni kama umevaa kiatu kabla ya sox.
Huwezi kunipangia wapi pa kuanzia unless kama ungekuwa umenipa tender ya kutoa hiyo huduma.Ungeanza na ushauri huo. Hapa ni kama umevaa kiatu kabla ya sox.
Kwa maneno marahisi nimekuambia acha unafiki.Huwezi kunipangia wapi pa kuanzia unless kama ungekuwa umenipa tender ya kutoa hiyo huduma.
mnafiki ni wew unayeamini wanaotakiwa kupewa ushauri ni ccm peke yao.Kwa maneno marahisi nimekuambia acha unafiki.
Ni wapi nimetaka uwape ccm peke yao? Nimetaka uanzie na tatizo halisi lilipo ili uende kwa hao wapinzani.mnafiki ni wew unayeamini wanaotakiwa kupewa ushauri ni ccm peke yao.
Oya unazinguaKwa namna hii hatutajenga Taifa tutaendelea kulaumiana kila leo.
Angalia comments zao,Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu.
Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda Russia kama mbadala wa USA/ulaya.
Ni kwamba hamjui Sera yetu ya mambo ya nje ya muda mrefu “Marafiki kwa wote” .? Ni kweli kuna maswahibu mmepitia au mnapitia ndiyo sababu ya kusema uongo kwenye kila kitu.?
Kwa namna hii hatutajenga Taifa tutaendelea kulaumiana kila leo.
mimi naanzia pale ninapoona naweza nikaanzia.Ni wapi nimetaka uwape ccm peke yao? Nimetaka uanzie na tatizo halisi lilipo ili uende kwa hao wapinzani.