Kukosoa sio tatizo ila kukosoa kwa data za kutunga ndilo tatizo.Kweli mkuu hatuwezi kuwa tunakosoa tu kila kitu
Jengeni nyinyi hilo taifa nani kawazuia, mliweza kufanya mlichoita uchaguzi mnashindwaje kujenga hilo taifa lenu nguruwe wa mama nyinyi.Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu.
Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda Russia kama mbadala wa USA/ulaya.
Ni kwamba hamjui Sera yetu ya mambo ya nje ya muda mrefu “Marafiki kwa wote” .? Ni kweli kuna maswahibu mmepitia au mnapitia ndiyo sababu ya kusema uongo kwenye kila kitu.?
Kwa namna hii hatutajenga Taifa tutaendelea kulaumiana kila leo.
Kwa hio ukweli mnao nyie tu wengine hawana? Ujinga mzigo.Kukosoa sio tatizo ila kukosoa kwa data za kutunga ndilo tatizo.
Hakika ujinga ni mzigo, jitahidi usiwe mjinga.Kwa hio ukweli mnao nyie tu wengine hawana? Ujinga mzigo.
Kumbuka ujinga ni mzigo.Jengeni nyinyi hilo taifa nani kawazuia, mliweza kufanya mlichoita uchaguzi mnashindwaje kujenga hilo taifa lenu nguruwe wa mama nyinyi.
Ujinga ni mzigo kweli nakubaliana na wewe hasa ukiwa unatetea wauwaji, watekaji,mafisadi,wezi wa uchaguzi na wafirajiKumbuka ujinga ni mzigo.
Samia mwenyewe alisema hivyo!Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu.
Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda Russia kama mbadala wa USA/ulaya.
Ni kwamba hamjui Sera yetu ya mambo ya nje ya muda mrefu “Marafiki kwa wote” .? Ni kweli kuna maswahibu mmepitia au mnapitia ndiyo sababu ya kusema uongo kwenye kila kitu.?
Kwa namna hii hatutajenga Taifa tutaendelea kulaumiana kila leo.
Sasa kama rais kaingia madarakani kwa kura za uongo tena wa wazi, unatoa wapi uhalali wa kutaka ukosolewe kwa data?Kukosoa sio tatizo ila kukosoa kwa data za kutunga ndilo tatizo.
Kwa hiyo Rais akiwa wa hovyo, na sisi wapinzani tunaendeleza uhovyo wake ?Sasa kama rais kaingia madarakani kwa kura za uongo tena wa wazi, unatoa wapi uhalali wa kutaka ukosolewe kwa data?
Mwenye nini?Samia mwenyewe alisema hivyo!
Kama unaumizwa na hicho unachokiita uongo usingesubiri kwa wapinzani, maana kuna hilo kubwa na la wazi. Sidhani kama wapinzani wanahitaji ushauri wako. Kama ushauri wako una maana ungeanza nao huko ccm.Kwa hiyo Rais akiwa wa hovyo, na sisi wapinzani tunaendeleza uhovyo wake ?
Hivi mtu kama hayupo upinzani, ni lazima awe upande wa Ccm ?Kama unaumizwa na hicho unachokiita uongo usingesubiri kwa wapinzani, maana kuna hilo kubwa na la wazi. Sidhani kama wapinzani wanahitaji ushauri wako. Kama ushauri wako una maana ungeanza nao huko ccm.
Nionyeshe post umetoa ushauri wa hivi kwa ccm.Hivi mtu kama hayupo upinzani, ni lazima awe upande wa Ccm ?
Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu.
Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda Russia kama mbadala wa USA/ulaya.
Ni kwamba hamjui Sera yetu ya mambo ya nje ya muda mrefu “Marafiki kwa wote” .? Ni kweli kuna maswahibu mmepitia au mnapitia ndiyo sababu ya kusema uongo kwenye kila kitu.?
Kwa namna hii hatutajenga Taifa tutaendelea kulaumiana kila leo.
Hii ni useless comment.Nionyeshe post umetoa ushauri wa hivi kwa ccm.
Ungeanza na ushauri huo. Hapa ni kama umevaa kiatu kabla ya sox.Hii ni useless comment.
Kwani huu mtandao umefungwa kwamba kuanzia jana hakutakuwa na room ya kutoa huo ushauri?