Wapinzani wa Afrika na siasa za majitaka kunavyowafelisha

Ungeanza na ushauri huo. Hapa ni kama umevaa kiatu kabla ya sox.
Huwezi kunipangia wapi pa kuanzia unless kama ungekuwa umenipa tender ya kutoa hiyo huduma.
 
Katibu mwenezi wa CCM alisema Chadema imenunua virus vya ebola ili ivisambaze kuzuia uchaguzi.
 
mnafiki ni wew unayeamini wanaotakiwa kupewa ushauri ni ccm peke yao.
Ni wapi nimetaka uwape ccm peke yao? Nimetaka uanzie na tatizo halisi lilipo ili uende kwa hao wapinzani.
 
Angalia comments zao,
 
Ni wapi nimetaka uwape ccm peke yao? Nimetaka uanzie na tatizo halisi lilipo ili uende kwa hao wapinzani.
mimi naanzia pale ninapoona naweza nikaanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…