Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

Naamini hata P.L.O Lumumba hataendelea tena kusifia Magufulification. Maana maendeleo ya kweli ni katika Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Najiuliza PLO Lumumba aliingizwa 'mkenge' yaani kudanganywa vipi na wanaCCM Mpya kuhusu magufulification
 
Naamini hata P.L.O Lumumba hataendelea tena kusifia Magufulification. Maana maendeleo ya kweli ni katika Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Najiuliza PLO Lumumba aliingizwa 'mkenge' yaani kudanganywa vipi na wanaCCM Mpya kuhusu magufulification
Lumumba nae hazimo sijui anachuki binafsi ya kuporwa teuzi Kenya.
 
Lucifer at work

Usituletee drama za huko kwenu

Ndio umefundwa na mamako hivyo?

Lissu si mlisema drama?

Mashetani kwa mwili wa binadamu.
Kuwa na adabu mimi ni Baba yako Mzee Nawatafuna.
 
Wapinzani hapa TZ hawakuwa na kura za kutosha na hawana wafuasi kiasi hicho sana sana wapo kwenye mitandao ya kijamii tu na wengi wako nje ya nchi wanabeba mabox na kulea vizee vya kizungu!
We shangazi ushachukua buku saba
 
MK254,
Msiwe na hofu hili ni suala la haki za binadamu na haki ya kuishi, toeni msaada kwa wanaotafuta hifadhi, leo sisi kesho kwenu nyie maana Afrika bado tupo katika mtanziko wa kidemokrasia Democratization, sequencing, and state failure in Africa: Lessons from Kenya

Nimesoma makala ya Jaji mstaafu Mutunga na harakati zao. Kumbe wengi walikimbilia Tanzania wakiwa vijana na kupewa hifadhi. Listi ya wanafuzi radical , hata washukiwa tu au wanaharakati kama kina Koingi Wamwere, Raila Odinga, Prof. George Luchiri Wajackoyah, John Githongo n.k walikimbilia Tanzania au walipita Tanzania kutafuta hifadhi nchi zingine

Willy Mutunga, a Lifelong Activist​

Source :Willy Mutunga, a Lifelong Activist

Uko sahihi na nitamuona rais Uhuru kama wa hovyoo akikubali kuwarudisha wakimbizi wa kisiasa.
 
Ok. Yeye kafa ila wewe bado unaliendeleza mzee, unagawa boko bwabwa [emoji28]
Acha kuliwa dogo, uza hata dagaa fala wewe.

Chakula cha wakubwa Lumumba[emoji1][emoji1]
 
Unajua Nina umri gani we kijana?

Hujawa na adabu ndio maana nimekuwakia.

Mzee gani zwazwa hivi?
Ukirudi nyumbani muulize mama yako"Baba yangu og aliemwaga mbegu kwenye ilo tundu ni nani?"atakupa majibu na picha yangu anayo,atakuonyesha jinsi ulivyofanana sura na mimi Baba yako.
 
Ukirudi nyumbani muulize mama yako"Baba yangu og aliemwaga mbegu kwenye ilo tundu ni nani?"atakupa majibu na picha yangu anayo,atakuonyesha jinsi ulivyofanana sura na mimi Baba yako.
Me nishamla mamako, ukapatikana mtoto sio riziki.
 
Ester mariko na ester bulaya wako mpaka wa sirari kuomba kuingia nchini kenya. Muda mfupi ujao watakuwa jiji la nairobi.wakenya msituchoke sisi ni ndugu. Tupokeeni huku kwetu ujamaa umeshindikana


Hapo ndio wanakosea, wasitumie mbinu rasmi za mipakani, wavae mashuka ya Wamaasai na kuingia wakiswaga ng'ombe, ila kwa hizo mbinu za kupanga foleni uhamiaji watatekwa sana.
 
Haijaniuma hata kidogo, ila imenichekesha sana kwakweli
Kweli inachekesha, nyalandu nae ametishiwa kuuwawa eti...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee
 
Me nishamla mamako, ukapatikana mtoto sio riziki.
kijana kuwa na adabu mimi ni Babayako.
leo nakuja kulala namamako ntamuuliza"hivi kwanini amekulea kishogashoga hivi?"ata kwenye Avatar yako umeshika mpila unaonekana kama mwanamke wakati ni kijana wangu niliemwaga mbegu kwa mamako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kweli magufuli sio wakuchezea anaweza kufunga na mipaka kabisa, na Hali ikiwa tight kenya inawarudisha Tanzania tundu lisu mjanja kakimbilia ubalozi wa u German hao wanaokimbilia kenya wako hatarini sana
 
Wapinzani wengi ni wahuni wahuni,kitu ambacho wanatakiwa kuelewa ni kwamba watanzania wa sasa si kama wa zamani...watasubiri sana kupata nchi
 
Back
Top Bottom