xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
narudia tena je ni lini mmempa lisu asylum?usiwe nyuma kaka...lissu alikuwa huku kwetu tukimlisha maharagwe baada ya nyinyi kumpiga risasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
narudia tena je ni lini mmempa lisu asylum?usiwe nyuma kaka...lissu alikuwa huku kwetu tukimlisha maharagwe baada ya nyinyi kumpiga risasi
Dah umepata hii akili lini?CHADEMA SANAA GROUP. Hizi sinema za Chadema waandike upya stori. Hivi nani amtishie maisha Nyalandu.
Pote chadema wanakataliwa home and away, hii ni laana, hasa nikikumbuka namna mlivyokua mkijipendekeza kwa Uhuru na kujitia Ukenya kuliko wenye nchiBila shaka mnaogopa JPM asije kupiga marufuku mahindi kuingia Kenya!
Mwambieni Kenyatta na Mabwenyenye wenzake waachie ardhi kwa Wakenya ili wazalishe mazao ya chakula vinginevyo mtaendelea kumuogopa JPM ili kubembeleza mahindi "yake"!
Wafukuzeni kabisa au wapelekeni kwenye vituo vya CoronaHii ngoma wanayopigiwa na jiwe roundi hii wataicheza tu wapende wasipende hawa watani wetu. Ila wapambane huku kwao watuache kivyetuvyetu tu.hawana jema hawa ndugu zetu. Wanajileta na hatujwaita,mwisho wa siku utasikia wanatuponda humu JamiiForums wakitusema tunawachokonoa wakati wametufuata kwetu.
CHADEMA SANAA GROUP. Hizi sinema za Chadema waandike upya stori. Hivi nani amtishie maisha Nyalandu.
NONSENSE!Pote chadema wanakataliwa home and away, hii ni laana, hasa nikikumbuka namna mlivyokua mkijipendekeza kwa Uhuru na kujitia Ukenya kuliko wenye nchi
Si mabwana zao wapo hapo Kenya!! Hata Lissu alianziaga hapo Kenya. Chezea mbano wa Tanzanite na madini mengine wewe!! Mafisadi wote walikuwa wanatuibia raslimari zetu siku hizi wanakuja hapo Kenya na kupanga mipango ya kutuhujumu kupitia Nairobi. Lakini tutawanyoosha tu!Nimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule aliyegombea urais bwana Lissu keshajiokoa kwa kuchukua hifadhi ndani ya ubalozi wa mabeberu wa Ujerumani, huyo yuko nafuu maana wale ni baadhi ya Mataifa ambayo hutoa misaada Tanzania, hivyo wana uwezo wa kusema chochote na kikasikilizwa.
Lakini sisi huku mkija, mnatuingiza kwenye hali ngumu ya ugomvi baina yetu na huyo mnayemkimbia Rais wenu John Pombe Magufuli halafu upande wa pili asasi za kijamii za kimataifa kama Amnesty International, ambao tumesharidhia sheria za kuhifadhi mkimbizi yeyote anayeitoroka nchi yake kuokoa uhai wake. Muda wowote Magufuli anaweza akafungia ndege zetu kuruka kuja huko. Hehehe
Tumieni busara kama hiyo ya Lissu, mjichomeke kwenye balozi zozote za mabeberu, huko hamtaguswa ila duh yaani hiyo Tanzania iliyokua inapokea Warundi wanaoikimbia nchi yao, leo imegeuka kuwa chanzo cha wakimbizi, poleni sana ndugu zetu, tunawaombea.
========
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema), Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada ya kukosa nyaraka muhimu.
Lazaro Nyalandu azuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Namanga baada ya kukosa nyaraka muhimu
Mh lazaro NYALANDU amezuiliwa namanga akiwa anaelekea Kenya kutafuta hifadhi. Amezuiliwa namanga. Kufika mwakani tutabaki mimi na wewe ------ Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema) Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada...www.jamiiforums.com
Si mabwana zao wapo hapo Kenya!! Hata Lissu alianziaga hapo Kenya. Chezea mbano wa Tanzanite na madini mengine wewe!! Mafisadi wote walikuwa wanatuibia raslimari zetu siku hizi wanakuja hapo Kenya na kupanga mipango ya kutuhujumu kupitia Nairobi. Lakini tutawanyoosha tu!
Sisi huku hatutaki wasaliti vibaraka wa mabeberu.Ulitegemea Lissu akimbilie Burundi au Rwanda au Uganda baada ya kulishwa risasi 38, ilibidi aje kwenye nchi iliyo bora kiaina kwenye utawala na mifumo.
ila hiyo nchi mumeiharibu sio mchezo duh....
Huyo jamaa wenyu ata overreact awafungie Watanzania mipaka wasiweze kuuza bidha zao Kenya na kuwaadhiri vibaya zaidi WatanzaniaKwamba Kenya haiwezi kuwapa asylum Watanzania ambao ni viongozi wa upinzani wanaokimbilia Kenya,kwa sababu kwa kufanya hivyo Magufuli ataudhika sana?
Aiseee nilikuwa sijui kama Kenya inamwogopa Magufuli kiasi hiki,leo ndio nimejua.
Ester mariko na ester bulaya wako mpaka wa sirari kuomba kuingia nchini kenya. Muda mfupi ujao watakuwa jiji la nairobi.wakenya msituchoke sisi ni ndugu. Tupokeeni huku kwetu ujamaa umeshindikanaNimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule aliyegombea urais bwana Lissu keshajiokoa kwa kuchukua hifadhi ndani ya ubalozi wa mabeberu wa Ujerumani, huyo yuko nafuu maana wale ni baadhi ya Mataifa ambayo hutoa misaada Tanzania, hivyo wana uwezo wa kusema chochote na kikasikilizwa.
Lakini sisi huku mkija, mnatuingiza kwenye hali ngumu ya ugomvi baina yetu na huyo mnayemkimbia Rais wenu John Pombe Magufuli halafu upande wa pili asasi za kijamii za kimataifa kama Amnesty International, ambao tumesharidhia sheria za kuhifadhi mkimbizi yeyote anayeitoroka nchi yake kuokoa uhai wake. Muda wowote Magufuli anaweza akafungia ndege zetu kuruka kuja huko. Hehehe
Tumieni busara kama hiyo ya Lissu, mjichomeke kwenye balozi zozote za mabeberu, huko hamtaguswa ila duh yaani hiyo Tanzania iliyokua inapokea Warundi wanaoikimbia nchi yao, leo imegeuka kuwa chanzo cha wakimbizi, poleni sana ndugu zetu, tunawaombea.
========
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema), Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada ya kukosa nyaraka muhimu.
Lazaro Nyalandu azuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Namanga baada ya kukosa nyaraka muhimu
Mh lazaro NYALANDU amezuiliwa namanga akiwa anaelekea Kenya kutafuta hifadhi. Amezuiliwa namanga. Kufika mwakani tutabaki mimi na wewe ------ Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema) Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada...www.jamiiforums.com
Una kideri we mwanamwali.CHADEMA SANAA GROUP. Hizi sinema za Chadema waandike upya stori. Hivi nani amtishie maisha Nyalandu.
Kumbe muhusika unamjua. Kaa kimyaUna kideri we mwanamwali.
Lissu kimlimpata nini? Si mlimkashifu ni attention seeker?
Vipi Ben saanane, Lwajabe, Alphonse Mawazo, akwilina, azory gwanda nk?
Nakuita shetani kwasababu unataka kuona vifo alafu baadae msingizie ni mboye.
Lucifer at workWatanzania tunaona akili za watu waliokua eti wanataka hii nchi. Vilaza watupu, wanatapatapa kwa propaganda za kitoto.
awajui hata kutengeneza drama.
We ni Kiazi kitamu.Kumbe muhusika unamjua. Kaa kimya