Pre GE2025 Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bwana Mayalla amekuwa mjinga kupita maelezo. Huyo Zitto mwenye siasa za ustaarabu mwenyewe analia! Pindi ccm itakapotenganishwa na Dola ndipo uwezo wake halisi utaonekana otherwise itakuwa yale yale aliyoyasema DC wa Longido ya kuteka watu na kuwapoteza maporini!
 
Mpuuzi huyu P yeye anaona kama hakuna haki katika kufanya siasa. Kuna chama cha Siasa kipya kinaitwa Polisi Tanzania kina kila kitu. Mfumo kandamizi unaibeba CCM halafu anakuja huyu Wakili uchwara anadai upinzani upo hoi.
 
5. Creation of level playing field kwenye the game of politics。The political game playing field is not level, we need to create a level playing field ili kupata ushindani wa haki. Hili nalo ni tatizo la kikanuni,......
Mbona jana kwenye bandiko lako moja kwa asilimia kubwa uliandika objectively bila kuegemea upande mmoja?

Kama kweli 'the playing field is not level..." kama ulivyoandika jana (na huo ndo ukweli), inakuwaje leo ugeuze kibao ghafla na kuja na madai kuwa washindani wa upande mwingine ni dhaifu?!! Je, leo umeandika kwa hiari yako au kwa shuruti?

Rai yangu ni kuwa nyie wenye karama ya uandishi wa ushawishi kuweni wakweli basi ili nchi isaidike kupitia utaalamu wenu. Unafiki, uongo na uchawa hausaidii yeyote in the long run
 
Kwa akili ya kawaida tu,tusizuunguke saana,mara huku mara kule,hili mtu upate suluhisho la jambo lolote,kwanza jua chanzo ni kipi!!!,,tusihangaike saana kujua harufu mbaya inatoka wapi,wakati mzoga unaosababisha hiyo harufu tumeshauona,unajulikana!!!,yanini sasa kuendelea kusema harufu inatoka pale mara inatoka huku,ni kupoteza tu mda,mhimu ni kuuondoa tu mzoga baaasi,na harufu hamtaisikia teeena,,mzoga huo unajulikana tayari,tusipepese macho..
 
Pascal we unafahamika. Tunajua mtatumika sana kuleta propaganda mfu ili kujaribu kupoteza mjadala. Nikwambie tu, hamjqfanikiwa na hamtafanikiwa. Watanzania wa sasa sio wajinga, na siku zinavyozidi kwenda ndo ujinga unazidi kuwatoka
 
Utagombea ubunge tena

Ova
 
Kilichomshindisha Trump siyo sera wala kupendwa kwake.
Ni umahiri wa kuhadaa wapiga kura kwa kutumia vyombo vya habari vya mitandaoni na mitandao ya kijamii.
Ndiyo maana tayari ameshaanza kupoteza mvuto mapema kabisa.
 
Kama umeona fursa upinzani kwann hukuchukua fomu ya ubunge kupitia upinzani ukalete wewe hizo faida Kwa nchi?

Acha kudharau Watanzania,

Uchaguzi Inawezekana kutofanyika kama hakuna reforms kwenye Katiba kupata Tume huru ya Uchaguzi kupitia maandamano yaliyoruhusiwa kikatiba.
 
Naheshimu mawazo yako.

Lakini wanachotufanyia akina TAL ni kibaya zaidi ya kushiriki uchaguzi.
Tatizo uchaguzi Mkuu huwa unafuatiliwa kwa karibu na Jumuiya ya Kimataifa.Akina Lissu wanaposema kuwa yasipofanyika marekebisho ya kikatiba uchaguzi utakuwa kama wa mwaka 2024,wataaminika.
Hata sasa watu wengi kabisa wangeshangaa kama akina Lissu watashiriki bila hayo madai yao kutekelezwa.

Kwa maoni yangu,CCM tungekaa nao ili tuwasikilize kwa kina na ikiwezekana tufanye baadhi ya mabadiliko wanayohitaji.

CCM kushinda ni jambo linaloeleweka.Vyama vya upinzani havijawa na ushindani kwa kutosha.
 
Utagombea ubunge tena

Ova
Sijawahi kugombea ubunge popote!,ila nimewahi kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea ubunge Kawe,sikuteuliwa na sikugombea,kwa mwaka huu nimeisha jifunza,hivyo subiria kipenga kipulizwe!,yule tapeli wetu pale,tunamfurusha kama paka shume!,ila kama wale jamaa zetu watagoma kuwasamehe wale majembe kazi yao, lile jembe kazi likijiunga chama kubwa,yule tapeli tupa kule,mwenye jimbo lake akabidhiwe!。
P
 
Pascal we unafahamika. Tunajua mtatumika sana kuleta propaganda mfu ili kujaribu kupoteza mjadala. Nikwambie tu, hamjqfanikiwa na hamtafanikiwa. Watanzania wa sasa sio wajinga, na siku zinavyozidi kwenda ndo ujinga unazidi kuwatoka
Mkuu Lodi Deningi,@lord denning, naomba nikuthibitishie,mimi ni independent,truthfully,very objective, impartial na niko very balanced,situmiki na yeyote!。
P
 
Kwani Tanzania sasahivi Kuna kampeni na vyama vimeshapitisha manifesto?

Nafikiri wewe ndiye mtoto Kama sio mtoto niwekee hapa manifesto ya ccm 2025!!
 
Ccm daima samia mitano
 
..ila mm nimekuelewa sana kwani watu dizaini yako pascal kuwa mnatumiwa na mifumo dhalimu kufanya spinning ili kunufaisha kikundi fulani..ningekuwa sikujui kwa kukuona kwenye TV ww mzee ninge kutukana kwa hili andiko lako lililojaa unafiki..
Mkuu Ali Majodi,naomba nikuthibitishie,mimi ni independent,truthfully,very objective, impartial na niko very balanced,situmiki na yeyote!。

P
 
Lakini unajua kaka Pascal kuwa tatizo la upinzani dhaifu linatokana na ubabe wa CCM na kuendekeza katiba inayoruhusu mtawala wa nchi kuuwa upinzani wakati wowote atakapo. Kwanini hukuandika kuhusu chanzo cha tatizo bali umekimbilia kuandika kuhusu matokeo ya mfumo huo mbovu tulionao tena huku ukiwalaumu waathirika wa mfumo huo dhalimu?!!!!!?
 


Apple ndio kampuni iliyozindua first ever modern tablet (touch screen) mwaka 1993 ikiitwa ‘Apple Newton’ ilikuwa touch screen computer na inaweza text.

IBM wakaenda mbele zaidi wakaja na first ever touch screen mobile phone 1994 ikiitwa ‘IBM Simons’.

Hizo bidhaa zote mbili zilifeli vibaya sana sokoni miaka ya 90 kwa sababu technology ilikuwa mbele ya muda. Apple ilifisika kabisa kwa sababu walitumia hela nyingi kwenye research ya hiyo PDA, ikabidi ‘Bill Gates’ awape mkopo kwa sababu aliamini uwepo wa kama washindani utachochea technology innovation.

Hizo bidhaa za Apple na IBM zilizo fail miaka ya 90, leo technology hiyo hiyo tunaita smart technology na ndio dominant sokoni.

Somo ni nini elewa wananchi wanataka nini na wako wapi (marketing research) kwanza kabla ya kutengeneza bidhaa. Changes za kitu kigeni zinataka baby steps, kufikia ukileta kitu kipya kabisa kinaenda fail hata kama ni bora.

Lissu anafikiria vitu kutoka kichwani kwake bila ya kuelewa raia wapo hatua gani ya uelewa. Watanzania wengi hawajui kama wao ndio wenye nchi na wafanyakazi wa serikali ni waajiriwa wao. Sasa utamshawishi mtu vipi kudai mabadiliko hata elimu ya haki yake haijui. Mbaya zaidi haki zake zipo kwenye katiba ambayo kila siku mnaiita mbovu as if kila kitu kibaya.

Story ni ndefu ila Lissu sio mwanasiasa na upinzani bara bado; Zanzibar tayari.

Lissu ni ‘demagogue’ wanna be lakini hana rhetoric ya kuongea na watanzania kwa kuwaelewa kwanza, hana political strategy ya muda mrefu. Yeye anadhani kilichopo kichwani kwake either unakubaliana nae au, basi na watanzania wote wenye shida wanatakiwa kuwa na mtazamo huo-huo. Hizo siasa anazohubiri muda wake Tanzania bado, yupo lala land.

Wewe unasema ‘No reforms, no election’, huko ndani ya CCM kauli hiyo wanaitafsiri kama ‘kuvuja kwa pakacha, nafuu kwa mchuuzi’.

CDM ni useless
 
Dont urge with the fool people might not see.the difference.
Wewe ndo fool ambaye unadhani ni kukosekana kwa siasa au demokrasia pale kura zinapohesabiwa waziwazi

Uchaguzi wa chadema umefanyika kwa uwazi mkubwa sana lakin cha ajabu unaibuka huko usingizini unasema haukuwa huru na haki kwamba hakuna demokrasia huoni una matatizo ya akili
 
Wewe umeshachukua bahasha yako kama wenzio wa jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…