olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
Ili kutafuta huruma kwenye jamii , Wapinzani wameanza kutafutiana ajali za kiafya na kisiasa ili wasingizie Serikali.
Alianza Dkt Nshala kusema anatafutwa ili auawe eti kwa sababu anapinga DP World, Na sasa Mbowe anatangaza taarifa kwa watu wake wa karibu kuwa amelishwa sumu akiwa kwenye kikao cha CHADEMA juzi , huku akiamini kuwa Serikali ilituma wana usalama kwenda kutegesha sumu kwenye vyakula vyao.
Script zao zimeanza rasmi
1. Dkt Nshala amekimbilia Kenya tayari, mpaka muda huu ame report ubalozi wa Canada nchini Kenya
Ameomba hifadhi akisema anatishiwa usalama wake.
2. Mbowe anataka kukimbia nchi na yeye kwenda Uholanzi, kwa kile anachodai amewekewa sumu kwenye chakula na maafisa usalama wa serikali.
Note: Ndugu zangu, Wapinzani wamekosa hoja za msingi , wameanza maigizo yale yale ,kutafuta huruma ya wananchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Rais Samia ni mweledi sana na ana busara sana, Huu unaofanywa na Mbowe ni utoto , Nshala rudi kwa Mke wako hayo maigizo huyawezi