William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Uingereza ilikuwa na uchumi mkubwa duniani kwa zaidi ya miaka 200+ kwa kuweza kudhibiti njia za majini na karibu bandari zote ulaya kuanzia Karne 15. Kifupi ilijengwa na uchumi wa bandari.
Ukiigusa Dubai unaigusa Uingereza. Hata Mjerumani alipoachiwa Tanganyika hakuachiwa pwani yoyote. Pwani akaidhibiti Uingereza na meli zake zilifanya Doria kwa kivuli Cha za Sultan wa Zanzibar.
Mwaka 1830s uengereza iliingia makubaliano wa kuchukua jukumu la kuzilinda dhidi ya maharamia wengine wa kiarabu nchi zote za jumuia ya kiarabu kwa miaka 100.
Hapo umoja huo ukawa koloni kamili kwa mkataba ulioheshimika hadi 1920 walipoongeza mingine 50+.
Toka wakati huo iliwatumia Waarabu kumiliki Afrika mashariki alipomshawishi sultan Sayed Said kuamia Zanzibar 1840.
Hata kwenye kuigawa Tanganyika kwenye Berlin conference 1884 alihakikisha bandari zote zinakuwa chini ya Mwarabu kwa maslahi yake. Mjerumani hakupewa km 10 kutokea pwani awali. Pwani zote alipewa Mwarabu kwa maslahi ya mwingereza aliyemtuma.
Turudi Dubai Sasa. Mwaka 1974 ndipo Dubai wakapewa bendera yao na Uingereza. Yani ingekuwa Afrika ingekuwa nchi ya mwishoni kabisa kupata uhuru Lakini iko chini ya uratibu wa mwingereza mpaka kesho. Leo Dubai kati ya kila wakazi 10 nane Hadi 9 Ni Wageni. Yani asilimia chini ya 20 ndio Waarabu wa Dubai.
Suala la DP World sio level ya CHADEMA. Ilikuwa lazma waje wachukue bandari zote za Africa mashariki. Kuanzia Djbuti, Somalia, Kenya tayari walishasaini zamani tu na Samia mtamlaumu bure Hilo ni juu ya uwezo wake. Walijua mapema na huwatumia Waarabu kuanzishwa kila maslahi yao.
Waarabu hao hao ndio hutumika hata kuanzishwa makundi ya waasi ya kigaidi ya kidini kwenye rasilimali ili laslimali za Afrika zichukuliwe bila malipo na wazungu.
Wale boko harama hupata ufadhili toka huko, kundi lilikuwa polini uko hakuna kila kitu lakini linamiliki Silaha nyingi Sana na za kisasa kuliko majeshi ya karibu nchi zote za Afrika mashariki. Pia waliibuka waasi wa Niger na hata msumbiji juzi tu walipogundua mafuta.
Hata CCM wote wakimpinga Sasa Samia bandari zote Zitamilikiwa na waingereza kupitia waarabu. Tunaona Sasa Waarabu wanakuja Sana kugawa kondoo za bure kwenye idd lakini tujue shuguli zao.
Ndio maana Dp wenyewe wanatumia Sheria za waliwatuma.