welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
nakubaliana nawe kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tuseme Mwabukusi na Mudude wamekamatwa na Mwingereza?Suala la DP World sio level ya CHADEMA. Ilikuwa lazma waje wachukue bandari zote za Africa mashariki. Kuanzia Djbuti, Somalia, Kenya tayari walishasaini zamani tu na Samia mtamlaumu bure Hilo ni juu ya uwezo wake. Walijua mapema na huwatumia Waarabu kuanzishwa kila maslahi yao.
😅😅😅Hata CCM wote wakimpinga Sasa Samia bandari zote Zitamilikiwa na waingereza kupitia waarabu. Tunaona Sasa Waarabu wanakuja Sana kugawa kondoo za bure kwenye idd lakini tujue shuguli zao.
Sio kukamatwa ata wakinyongwa Uingereza itakaa kimya. Yule mwandishi wa Saudia aliyechinjwa uturuki ubalozini Uingereza ilifanya nini.Kwa hiyo tuseme Mwabukusi na Mudude wamekamatwa na Mwingereza?
Vipi ile kesi kule Mbeya wale majaji ni waingereza?
Na Yule aliyewekwa madarakani na waingereza alipopinduliwa na wanajeshi wazalendo wa Tanganyika alikuwa nani ?Waarabu ni madalali wa wazungu hilo mbona liko wazi,inshu hapa mkataba mbovu wakijambazi.
Duh 🙄 watakimbia Nchi ??!! 😱Acha uboya mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba mkataba huu unamaslahi kwa Taifa. Kwanini hauna ukomo? Kwanini hautamki mgawanyo? Kwanini unakuwa glue kwamba hauwezi kuvunjwa? Huu ni makataba wa kihuni mnaweza kulazimisha kutumika ila muda ni HAKIMU mzuri wanaouza raslimali zetu watakimbia nchi.
Ni vizuri umeliweka hili la Islamic state, ikiwa wanahiki kuitwa hivyo. Kama ulivyoeleza aliyoeleza Buhari kuhusu ufadhili wa Marekani kufadhilii ugaidi. Hao Islamic State, kwa maoni yangu, sio Waislamu kwani uislamu hauruhusu kuua au kuuliwa isipokuwa mtu husika awe ameua.
Kwa maana hiyo hao katika uhalisia sio waislamu kwani wanatenda kinyume na mafundisho ya uislamu. Sasa ni kwanini Marekani inawafadhili; kwa maoni yangu, ni kwa sababu mbili kuu.
1. Kutaka kuonesha umma kwamba uislamu ni dini ya mauaji na waislamu ni wauaji
2. Baada ya kuwaaminisha watu kwamba uslamu ni dini ya mauaji na waislamu ni wuaji, wao - Marekani na washirika wake - wapate nafasi ya kupora rasilmali kwa manufaa yao.
Uongo unaokaribia ukweliUingereza ilikuwa na uchumi mkubwa duniani kwa zaidi ya miaka 200+ kwa kuweza kudhibiti njia za majini na karibu bandari zote ulaya kuanzia Karne 15. Kifupi ilijengwa na uchumi wa bandari.
Ukiigusa Dubai unaigusa Uingereza. Hata Mjerumani alipoachiwa Tanganyika hakuachiwa pwani yoyote. Pwani akaidhibiti Uingereza na meli zake zilifanya Doria kwa kivuli Cha za Sultan wa Zanzibar.
Mwaka 1830s uengereza iliingia makubaliano wa kuchukua jukumu la kuzilinda dhidi ya maharamia wengine wa kiarabu nchi zote za jumuia ya kiarabu kwa miaka 100.
Hapo umoja huo ukawa koloni kamili kwa mkataba ulioheshimika hadi 1920 walipoongeza mingine 50+.
Toka wakati huo iliwatumia Waarabu kumiliki Afrika mashariki alipomshawishi sultan Sayed Said kuamia Zanzibar 1840.
Hata kwenye kuigawa Tanganyika kwenye Berlin conference 1884 alihakikisha bandari zote zinakuwa chini ya Mwarabu kwa maslahi yake. Mjerumani hakupewa km 10 kutokea pwani awali. Pwani zote alipewa Mwarabu kwa maslahi ya mwingereza aliyemtuma.
Turudi Dubai Sasa. Mwaka 1974 ndipo Dubai wakapewa bendera yao na Uingereza. Yani ingekuwa Afrika ingekuwa nchi ya mwishoni kabisa kupata uhuru Lakini iko chini ya uratibu wa mwingereza mpaka kesho. Leo Dubai kati ya kila wakazi 10 nane Hadi 9 Ni Wageni. Yani asilimia chini ya 20 ndio Waarabu wa Dubai.
Suala la DP World sio level ya CHADEMA. Ilikuwa lazma waje wachukue bandari zote za Africa mashariki. Kuanzia Djbuti, Somalia, Kenya tayari walishasaini zamani tu na Samia mtamlaumu bure Hilo ni juu ya uwezo wake. Walijua mapema na huwatumia Waarabu kuanzishwa kila maslahi yao.
Waarabu hao hao ndio hutumika hata kuanzishwa makundi ya waasi ya kigaidi ya kidini kwenye rasilimali ili laslimali za Afrika zichukuliwe bila malipo na wazungu.
Wale boko harama hupata ufadhili toka huko, kundi lilikuwa polini uko hakuna kila kitu lakini linamiliki Silaha nyingi Sana na za kisasa kuliko majeshi ya karibu nchi zote za Afrika mashariki. Pia waliibuka waasi wa Niger na hata msumbiji juzi tu walipogundua mafuta.
Hata CCM wote wakimpinga Sasa Samia bandari zote Zitamilikiwa na waingereza kupitia waarabu. Tunaona Sasa Waarabu wanakuja Sana kugawa kondoo za bure kwenye idd lakini tujue shuguli zao.
Ndio maana Dp wenyewe wanatumia Sheria za waliwatuma.
Hukuelewa wewe au hukusoma betwween the line. Nimesema mimi, kwa maoni yangu, hao sio Waislamu Sasa wewe unanitilia maneno mdomoni kuwa hao ni Waislamu.Ngumu kueleweka yani waislamu watumiwe na wasio waislamj kuharibu identity ya dini yao??wtf.
Nani kasema unamaslahi. Mimi nakuonesha Nani Yuko nyuma swala hapa ujue Nani wa kupambana naeAcha uboya mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba mkataba huu unamaslahi kwa Taifa. Kwanini hauna ukomo? Kwanini hautamki mgawanyo? Kwanini unakuwa glue kwamba hauwezi kuvunjwa? Huu ni makataba wa kihuni mnaweza kulazimisha kutumika ila muda ni HAKIMU mzuri wanaouza raslimali zetu watakimbia nchi.
Rudi soma source tofauti juu ya uengereza na bandari. Uingereza na Arabuni na Indirect ruleUongo unaokaribia ukweli
Indirect rule ya waingereza na USA ipo kote huko gulf kasoro Iran pekee. !Rudi soma source tofauti juu ya uengereza na bandari. Uingereza na Arabuni na Indirect rule