Wapinzani wajue hawapambani na Waarabu au Rais Samia bali Mwingereza. Hawatashinda kamwe

Acha uboya mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba mkataba huu unamaslahi kwa Taifa. Kwanini hauna ukomo? Kwanini hautamki mgawanyo? Kwanini unakuwa glue kwamba hauwezi kuvunjwa? Huu ni makataba wa kihuni mnaweza kulazimisha kutumika ila muda ni HAKIMU mzuri wanaouza raslimali zetu watakimbia nchi.
 
Kwa hiyo tuseme Mwabukusi na Mudude wamekamatwa na Mwingereza?

Vipi ile kesi kule Mbeya wale majaji ni waingereza?
 
Kwa hiyo tuseme Mwabukusi na Mudude wamekamatwa na Mwingereza?

Vipi ile kesi kule Mbeya wale majaji ni waingereza?
Sio kukamatwa ata wakinyongwa Uingereza itakaa kimya. Yule mwandishi wa Saudia aliyechinjwa uturuki ubalozini Uingereza ilifanya nini.
Mfumo wa Uingereza kutawala huwa indirect rule ili kureduce resistance..

Kwanini watumie Waarabu Africa mashariki. Walifanya hivyo tokea miaka 200 iliyopita. Wanaamini wanakubalika kwa waislamu wanaoishi pwani. Ni swala la muda tu Dp watachukua Mombasa, Lamu ,Tanga na pwani yote ya Hindi. Kuanzia Djbuti eritria.

Usizani Sasa wanagawa kondoo za bure bure tu kwenye idi wanatafuta mvuto tu.
 
Duh 🙄 watakimbia Nchi ??!! 😱
 

Ngumu kueleweka yani waislamu watumiwe na wasio waislamj kuharibu identity ya dini yao??wtf.
 
Uongo unaokaribia ukweli
 
Ngumu kueleweka yani waislamu watumiwe na wasio waislamj kuharibu identity ya dini yao??wtf.
Hukuelewa wewe au hukusoma betwween the line. Nimesema mimi, kwa maoni yangu, hao sio Waislamu Sasa wewe unanitilia maneno mdomoni kuwa hao ni Waislamu.

Jitahidi kusoma vizuri halafu ujadili nilichoandika.

Zawadini
 
Nani kasema unamaslahi. Mimi nakuonesha Nani Yuko nyuma swala hapa ujue Nani wa kupambana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…