Wapinzani wamevuna walichopanda; wengi waliishi mjini na kuyatelekeza majimbo. Hadi sasa hakuna mpinzani aliyeshinda

Wapinzani wamevuna walichopanda; wengi waliishi mjini na kuyatelekeza majimbo. Hadi sasa hakuna mpinzani aliyeshinda

Baada ya yote haya mziki tutacheza pamoja...sio wapinzani sio tawala....endeleeni kupepeta midomo mkidhani wapinzani ni kina mbowe na lema.....maisha yao yatasonga mbele kwa ubora...kazi kwetu na uvivu wetu wa kupambanua mambo.
Gonja supu bro/ sister
 
Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.

Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.

Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.

Maendeleo hayana vyama!
Watabaki wanaulizana imekuaje?😂😂
 
Back
Top Bottom