mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Kura feki au hauzioni?.Tena Zina muhuri kabisa wa NEC.
AU MUHURI NAO WAME COPY?
AU MUHURI NAO WAME COPY?
Nini?
Nini?
Hata mshipa wa aibu uwe ushaukata tayariIabidi uwe punguani kidogo ndipo usifie wizi wa kiwango hiki.
Apate 100 kabisa mbona hizo ni chache sanaNaomba ununue valium ule ulalae utapasuka moyo. Maana matokeo ya urais JPM anapata 84-90% kila jimbo.
Hata huyo pingeni matokeo apite tu wa ccm labda mmeona ni mweupe ndo maana mmemchukuaKwahiyo ndo hako kabunge kamoja tu kaupinzani kalikopita?
Ndo hapo sasa huku mtaani mawakala wa chadema baadhi wapo
Ile kauli yake wakurungezi wameitendea haki, hawezi kuwapa gari, mafuta na posho juu harafu watangaze mpinzani ameshinda, hakika imetimia mwaka huuNdo hapo sasa huku mtaani mawakala wa chadema baadhi wapo ndani
Naomba nikutusi kidogo, wewe ni mpumbavu to the highest point.Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
Hawa Ghasia chaliNafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
nauliza swali la kijinga ni kwanini zichomwe moto wakati ni ushahidi nyeti sana? ilitakiwa tuzione na kuthibitisha kama ni karatasi za kura halisi ila sio hizo sinema mkuu.NI kweli sio habari mpya.
Maana wizk wa kura ulikuwepo tangu zamani hata mwaka 2015.zilikamatwa.
HAKUNA jipya.ila kwanini muibe kura?
Hamjiamini?View attachment 1615350
Shanga na wewe?! Mbaazi ukikosa maua husingizia jua!Kura feki ziliingizwa muda gani?
Baada ya yote haya mziki tutacheza pamoja...sio wapinzani sio tawala....endeleeni kupepeta midomo mkidhani wapinzani ni kina mbowe na lema.....maisha yao yatasonga mbele kwa ubora...kazi kwetu na uvivu wetu wa kupambanua mambo.
Unauliza jibu?Kura feki au hauzioni?.Tena Zina muhuri kabisa wa NEC.
AU MUHURI NAO WAME COPY?
Usiwaambie ukweli.Kila tukia halikosi sababu ya Uwepo wake
Chadema Kwa heri ya kuonana, ni wakati mwingine wa CCM kuchonga Upinzani mwingine mpya, nyie mlitaka kutupanda kichwani
🖕🏿🖕🏿You must he crazy, unashangilia dhuluma! Ni dhuluma mliyoizoea from 2015. Unadhani Kwa uchagusi huru mtafuabdafu? Shenzi kabisa
nauliza swali la kijinga ni kwanini zichomwe moto wakati ni ushahidi nyeti sana? ilitakiwa tuzione na kuthibitisha kama ni karatasi za kura halisi ila sio hizo sinema mkuu.
Mtangazaji yupo sahihi 100%.Hasa mwenyekiti wa saccos yao, so kupigwa 30K gap ni mavuno.Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!