Wapinzani wamevuna walichopanda; wengi waliishi mjini na kuyatelekeza majimbo. Hadi sasa hakuna mpinzani aliyeshinda

Wapinzani wamevuna walichopanda; wengi waliishi mjini na kuyatelekeza majimbo. Hadi sasa hakuna mpinzani aliyeshinda

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.

Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.

Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nakujifanya wabunge wa kitaifa kutafuta publicity, mtu azungumzii kero za wananchi wake busy kutafuta kuonekana anajua sana kumbe waajiri wake ambao ni wapiga kura wanamchabo tu.

Hongera CCM

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Baada ya yote haya mziki tutacheza pamoja...sio wapinzani sio tawala....endeleeni kupepeta midomo mkidhani wapinzani ni kina mbowe na lema.....maisha yao yatasonga mbele kwa ubora...kazi kwetu na uvivu wetu wa kupambanua mambo.
 
Ushindi wenyewe ndiyo huu?
governor_kaduma-20201029-0001.jpg
 
Back
Top Bottom