Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,442
- 2,441
Ikiwa mtu hajaona ghiriba za CCM na mawakala wake kuwafanikishia wao ushindi basi ana tatizo mahala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kingine, wapinzani wengi walikuwa wanajiita watoto wa mjini au wahuni wa kitaa hawataki kubabishwa na chama tawala. Matokeo yake walijisahau kuwatetea wananchi wao wakawa bize kupiga kelele na kufanya fujo bungeni. Wananchi wameamua, wache wakajipige vidole tu.Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM...
Naona umefurahia sana hiki kinachoendelea! Bahati nzuri ni kwamba "ushindi" huo hautawachukua washindi kutoka Sayari hii na kuwapeleka Mars au Mbinguni. Washindi tunawatakieni maisha mazuri kuliko ilivyokuwa kabla ya kushinda na washindwa watakiona cha mtema kuni.Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
We shabikia mkuu ,ushindi huo,ila eleweni tukisha pigwa spana za kuwekewa vikwazo tutatafutana wote ,uwe ccm, mpinzani ,au huna chama, tusubili mda ni mwalimNafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.

Ndg kuishi mjini ni life style ya wabunge wa bongo lakini waccm wamepeta japo hatuwaoni majimboniNafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
Mwizi weweNafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
Kura feki ziliingizwa muda gani?
Hakuna zilizokamatwa mlifanya uhuni baada ya kujua mtashindwa.Hilo swali waulize ccm waliziingiza saa ngapi?.
Ikiwa hizo ndo zimekamatwa . ambazo hazijakamatwa ni ngapi?View attachment 1615326View attachment 1615327
Hakuna zilizokamatwa mlifanya uhuni baada ya kujua mtashindwa.
Achani kuzua uongo, kura zinazotangazwa lazima zilingane na idadi ya wapiga kura. Hizo feki zilizozidi mbona hamzionyeshi kama ushahidi?Kwani hizo ballet paper anahezimiliki NI nani?chadema au NEC?
Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
Achani kuzua uongo, kura zinazotangazwa lazima zilingane na idadi ya wapiga kura. Hizo feki zilizozidi mbona hamzionyeshi kama ushahidi?
Tuliwaambia tokea mapema kipigo kitakua kikali sana