Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Nec.Mbona unaruka ruka.
Hizo ballet paper anahezimiliki NI nani?.NEC au chademaa?
Nec.Mbona unaruka ruka.
Hizo ballet paper anahezimiliki NI nani?.NEC au chademaa?
Tumeshazoea hizo kelele za wizi kila baada ya uchaguziCHA WIZI
Nec.
Tumeshazoea hizo kelele za wizi kila baada ya uchaguzi
Yalikamatwa wapi? Na kwa nani? Kwani mtu hawezi kuprint ili achafue uchaguzi? Kama yamekamatwa kuna malalamiko ya maandishi?Sasa kwanini NEC WANAKATAA HAKUNA KURA FEKI zilizokamatwa?
kwa hyo hayo makaratasi ni ya kura halali?
Yalikamatwa wapi? Na kwa nani? Kwani mtu hawezi kuprint ili achafue uchaguzi? Kama yamekamatwa kuna malalamiko ya maandishi?
walikuwa wanashinda kisutu, akiisha kesi hii wanatafuta nyingine. nafikiri wananchi wamewapa nafasi wakafanye harakati zao vizuri zaidi😆 hata ile tikiti ya ubiligiji ni one way ticketNafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
Mmetengeneza hizo karatasi ili mje kulialia
walikuwa wanashinda kisutu, akiisha kesi hii wanatafuta nyingine. nafikiri wananchi wamewapa nafasi wakafanye harakati zao vizuri zaidi[emoji38] hata ile tikiti ya ubiligiji ni one way ticket
Mmetengeneza hizo karatasi ili mje kulialia
Hakuna kura feki, mnatakiwa mthibitishe hizo zilizoingizwa zikazidi. Tumieni akili acheni ujinga.Tatizo sio kuprint.
Tatizo NEC WANAKATAA..
kwanini wakatae kuwa HAKUNA KURA FEKI?.si waseme ndio zipo watu wameprint?
Pale mtaani kwangu, tuliwahi kumchagua Diwani chama pinzani. Sijawah kusikia hata siku moja akizungumzia barabara wala maji, zaidi ni ulevi tu na sigara na umalaya. Cha ajabu wananchi wakawaida ndo waliokua wanatuhamasisha kuchangia barabaraNafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
Angalia Tbc JPM anapata 90% kila jimbo. Angalia usijinyee kwa hofu.NEC yenyewe inapata kiguguminzi kutangaza matokeo
Hawana taarifa rasmi comrade. ulitaka wakubali kwa kutumia maneno matupu na vipicha vya kuungaunga vya mitandaoni?Ila kumbuka NEC WANAKATAA HAKUNA KURA FEKI KWANINI wakatae Kama zimetengenezwa na watu?
Hakuna kura feki, mnatakiwa mthibitishe hizo zilizoingizwa zikazidi. Tumieni akili acheni ujinga.
Furaha hii ni ya kitambo sana we subiri iki spiral downward ikikufikia ndiyo utajua adha ya kula ugali bila mboga. Masele wa Shinyanga mjini alikuwa wa CCM na hakuwa jimboni muda mrefu mbona CCM wameshinda bado? Change your poor thinking capacity. mnapanda mbegu ya chuki kwa kutunyanganya haki zetuNafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM.
Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao.
Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe kwani Wabunge wao wengi waliyatelekeza majimbo yao kwa kisingizio kuwa wao ni Wabunge wa kitaifa.
Maendeleo hayana vyama!
ukweli ni kwamba watanzania tumeamua hatutoi kura za huruma, ila tuliwakumbusha mara nyingi sana kuhusu uchaguzi wa 2015 somo hamkuelewa sasa hii imeisha subiri 2025.unajilazimisha kucheka Ila ukweli unaujua
Unataka wakubali uzushi wa uongo? Usitishie kujamba wakati unaharisha?hakuna vipi wakati zimekamatwa?.
na NEC WANAKATAA.
Swali kwanini NEC wakatae kuwa HAKUNA KURA FEKI?.
Sijui unaelewa swali langu?.
Kwanini wakatae?.