The Investigator
Member
- Aug 20, 2024
- 66
- 143
Acheni unafiki. Leo mnasema jiwe aliwahitaji wapinzani. Si ni huyo jiwe wenu alisema wapinzani wamechelewesha maendeleo Tanzania?. Acha unafiki wewe chawa wa maguKuna watu siasa ndiyo ajira zao maslahi ya Nchi pembeni , watapata hela wapi ?
Itakutesa wewe mwenyewe. Mtu muuaji anawezaje kulaani watu?. Ndio maana alikufa mafichoniLaana ya Magufuli itawaresa daima
Muhuni Kama wewe unatakiwa kupigwa risasi ufe. Stupid idiotWahuni kama MBOWE wanatakiwa kupigwa mawe.
Umeweka bayana kabisa, akina boya mbowe ni wajinga na wanafiki sana. Kila mtanzania anajua walivyokuwa wanampinga ila pia walivyokuwa na ushiriki wa ili Dkt Magufuli afe wao eti wachukue nchi. Yaani ni wajinga sana, waliomba sana Dkt Magufuli afe, yaani walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli, yaani walilaani sana ila hawakujua kumbe Dkt Magufuli aliwapenda sana wapinzani kwa sababu ndiyo waliomuweka madarakani, na alikuwa anatakeleza ajenda zao za uadilifu, uchaoa kazi na kukwamua watanzania masikini kiuchumi. Bahati mbaya sana walimuona kama threat kwa wao kuingia ikulu kumbe ndiyo alikuwa anawatengenezea njia rahisi kabisa ya kufika Ikulu. Nimemsikia Zitto anasema ametua Kigoma kushughulikia wagombea wake warudishwe hao walioenguliwa. Nadhani kama wana akili wapinzani waombe radhi watanzania. Yeyote atakayewahi omba radhi hakika 2025 atakuwa raisBinafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Acha uongo, Kenya Wana majanga gani?. Kenya IGP Masengeli alihukumiwa miezi SITA jela kwa kudharau mahakama mpaka alipoomba radhi ndipo mahakama ikampa pardon. Sio huku mtu anatekwa mchana na kuuawa ila IGP wala hasumbuki.Katiba kwa nchi za kiafrika sio tiba, level zetu zinahitaji viongozi wehu ila Wenye nia njema na uchungu na nchi zao, jirani mmoja ana Katiba inayodaiwa mpya kila siku majanga kisiasa. Jirani mwingine nchi ndogo inaendeshwa kidikteta, Maendeleo super karibu kila sekta, wamefikia mahali ukijaribu kumpa rushwa askari anakukamata, kila sehemu ni clean, shule zote watoto Wanatumia kompyuta, ujambazi zero
Laana ya Dkt Magufuli hata wewe hapo inaendelea kukutesa mno na bado mtateseka sanaItakutesa wewe mwenyewe. Mtu muuaji anawezaje kulaani watu?. Ndio maana alikufa mafichoni
Kweli kabisa.Mbona Kenya katiba inafuatwa, mbona south africa na Botswana katiba zinafuatwa. Kwanini sisi Africa tuna tofauti gani na binadamu wengine eti sisi tu ndiyo tusipende demokrasia? Sio kweli Mbona Waafrica waliopo diaspora wanafurahia hizo system na wengine wanakuwa hadi viongozi?
Mbona wewe ndio inakutesa. Nikikumbuka ulivyokuwa unashangilia wapinzani kuumizwa na huyo mpumbavu. Leo unajifanya kujiongelesha kinafiki. Yule mtu alikuwa muovu Bora alikufa kifo Cha aibu.Laana ya Dkt Magufuli hata wewe hapo inaendelea kukutesa mno na bado mtateseka sana
Mimi ni mlinzi wa amani!Mbona wewe ndio inakutesa. Nikikumbuka ulivyokuwa unashangilia wapinzani kuumizwa na huyo mpumbavu. Leo unajifanya kujiongelesha kinafiki. Yule mtu alikuwa muovu Bora alikufa kifo Cha aibu.
HayaMimi ni mlinzi wa amani!
Ninavyofahamu ni Magufuli ndiye aliyeukataa upinzani,alivyoingia tu madarakani aliapa kuwa ataumaliza upinzani,na kweli kwani alianza kupiga marufuku mikutano yao hata seminar za ndani za vyama hada Chadema zilipigwa marufuku. Hakuishia hapo alianza kurubuni wabunge na madiwani kujiunga CCM kwa ahadi za vyeo na fedha wale waliokuwa wagumu walishughulikiwa kwa kudhoofishwa kiuchumi, kufunguliwa kesi za uongo,kutekwa na kupotezwa na wengine kupigwa risasi. Na funga kazi akauvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na kuhakikisha wagombea waupinza wote wanaenguliwa mbinu ambayo hata mrithi wa Rais Samia anaitumia sasa hivi. Alihitimisha azma yake hiyo ovu 2020 kwa uchafuzi uliopelekea kuwa na bunge la maccm tupu. Ni upotoshaji mkubwa kusema Wapinzani walimkataa Magufuli.Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Basi tuseme amen!ile haikuwa kazi ya MUNGU kusoma hatujui ila picha tunaona
Mkuu ebu kuwa fair, usiwachukulie watu humu kama magogo!!! Lini Magufuli alitaka kushirikiana na upinzani??Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
πββοΈβοΈπ―ππππ€πNinavyofahamu ni Magufuli ndiye aliyeukataa upinzani,alivyoingia tu madarakani aliapa kuwa ataumaliza upinzani,na kweli kwani alianza kupiga marufuku mikutano yao hata seminar za ndani za vyama hada Chadema zilipigwa marufuku. Hakuishia hapo alianza kurubuni wabunge na madiwani kujiunga CCM kwa ahadi za vyeo na fedha wale waliokuwa wagumu walishughulikiwa kwa kudhoofishwa kiuchumi, kufunguliwa kesi za uongo,kutekwa na kupotezwa na wengine kupigwa risasi. Na funga kazi akauvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na kuhakikisha wagombea waupinza wote wanaenguliwa mbinu ambayo hata mrithi wa Rais Samia anaitumia sasa hivi. Alihitimisha azma yake hiyo ovu 2020 kwa uchafuzi uliopelekea kuwa na bunge la maccm tupu. Ni upotoshaji mkubwa kusema Wapinzani walimkataa Magufuli.
Muuaji yule na alivyokua anawachukia na kuwaona maadui wangeunganaje naeBinafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Duh!! Umesema neno zito sana. Mkuu Mbowe kakufanyia uhuni gani binafsi??? Kakuibia nini??? Kavunja sheria gani???Wahuni kama MBOWE wanatakiwa kupigwa mawe.
Tanzania IPI? Ya wizi wa kura?! Wapinzani hawazuii chochote, kila kitu nchi hii, kipo mikononi mwa ccm kwa miaka 60+! Kama vitu haviendi, kiss ni ccm,Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Umesema kweli ila basi tuBinafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Itakua alipata simu mwaka jana ndio akatafakari akaona leo awasilishe mawazo yake ila sio mbayaSi wapinzani walikuwa wanaunga mkono juhudi au umesahau harakati za Ndugu Polepole? View attachment 3149671
Nlitaka Nan na na I wamuunge mkono? Mbona wapinzani wengi sana waliunga juhud mkono? Prof.kitila,wabunge wengi tu waliunga mkono mbunge wa babat mjini,hamkumbuki wabunge na viongoz weng wa upinzan waliunga mkono?Tundu lisu ndiye anabeba lawama zote za kwa nini wapinzani hawakumuunga mkono Magufuli. Yeye ndiye alianzisha wazo la "pingapinga" (kupinga kila kitu) kwa madai ya kwamba Magufuli alianza kutekeleza sera za wapinzani kwa hiyo wao wangekosa cha kuwaambia wananchi. Viongozi wasio na maono ndivyo walivyo.
Ni kweli, laiti wapinzani wangemuunga mkono shujaa wetu, sasa hivi tungekuwa na Tanzania tofauti na ilivyo sasa. Hata ccm lazima ingebadilika. Sasa kwa kuwa watu tuliamua kumsikiliza lisu, basi ngoja tuendelee kuhenyeshwa.