The Investigator
Member
- Aug 20, 2024
- 66
- 143
Acheni unafiki. Leo mnasema jiwe aliwahitaji wapinzani. Si ni huyo jiwe wenu alisema wapinzani wamechelewesha maendeleo Tanzania?. Acha unafiki wewe chawa wa maguKuna watu siasa ndiyo ajira zao maslahi ya Nchi pembeni , watapata hela wapi ?