Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Umeweka bayana kabisa, akina boya mbowe ni wajinga na wanafiki sana. Kila mtanzania anajua walivyokuwa wanampinga ila pia walivyokuwa na ushiriki wa ili Dkt Magufuli afe wao eti wachukue nchi. Yaani ni wajinga sana, waliomba sana Dkt Magufuli afe, yaani walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli, yaani walilaani sana ila hawakujua kumbe Dkt Magufuli aliwapenda sana wapinzani kwa sababu ndiyo waliomuweka madarakani, na alikuwa anatakeleza ajenda zao za uadilifu, uchaoa kazi na kukwamua watanzania masikini kiuchumi. Bahati mbaya sana walimuona kama threat kwa wao kuingia ikulu kumbe ndiyo alikuwa anawatengenezea njia rahisi kabisa ya kufika Ikulu. Nimemsikia Zitto anasema ametua Kigoma kushughulikia wagombea wake warudishwe hao walioenguliwa. Nadhani kama wana akili wapinzani waombe radhi watanzania. Yeyote atakayewahi omba radhi hakika 2025 atakuwa rais
 
Katiba kwa nchi za kiafrika sio tiba, level zetu zinahitaji viongozi wehu ila Wenye nia njema na uchungu na nchi zao, jirani mmoja ana Katiba inayodaiwa mpya kila siku majanga kisiasa. Jirani mwingine nchi ndogo inaendeshwa kidikteta, Maendeleo super karibu kila sekta, wamefikia mahali ukijaribu kumpa rushwa askari anakukamata, kila sehemu ni clean, shule zote watoto Wanatumia kompyuta, ujambazi zero
Acha uongo, Kenya Wana majanga gani?. Kenya IGP Masengeli alihukumiwa miezi SITA jela kwa kudharau mahakama mpaka alipoomba radhi ndipo mahakama ikampa pardon. Sio huku mtu anatekwa mchana na kuuawa ila IGP wala hasumbuki.
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Ninavyofahamu ni Magufuli ndiye aliyeukataa upinzani,alivyoingia tu madarakani aliapa kuwa ataumaliza upinzani,na kweli kwani alianza kupiga marufuku mikutano yao hata seminar za ndani za vyama hada Chadema zilipigwa marufuku. Hakuishia hapo alianza kurubuni wabunge na madiwani kujiunga CCM kwa ahadi za vyeo na fedha wale waliokuwa wagumu walishughulikiwa kwa kudhoofishwa kiuchumi, kufunguliwa kesi za uongo,kutekwa na kupotezwa na wengine kupigwa risasi. Na funga kazi akauvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na kuhakikisha wagombea waupinza wote wanaenguliwa mbinu ambayo hata mrithi wa Rais Samia anaitumia sasa hivi. Alihitimisha azma yake hiyo ovu 2020 kwa uchafuzi uliopelekea kuwa na bunge la maccm tupu. Ni upotoshaji mkubwa kusema Wapinzani walimkataa Magufuli.
 
Mkuu ebu kuwa fair, usiwachukulie watu humu kama magogo!!! Lini Magufuli alitaka kushirikiana na upinzani??

Magufuli aliyevunjia watu wapiga kura wa Ubungo hadi Kibaha kwa kudhani kuwa waliupigia upinzani kura.

Magufuli aliyeamuru wapinzani kutekwa na kupotezwa na Lisu atandikwe risasi chapachapa???

Magufuli aliyenunua wapinzani kwa nguvu wapende wasipende???

Magufuli aliye sema hadharani kuwa hatapeleka maendeleo kwenye majimbo, wodi au mitaa ya wapinzani,

Magufuli aliyemuagiza Ndugai kuwatimua wapinzani bungeni ili awashughulikie vizuri huku nje???

Magufuli aliyeamuru na kutaifisha mali za viongozi na wanachama wa upinzani???

Magufuli aliyeamuru bereu de change zote Arusha na Moshi kwenye upinzani kuporwa fedha zake.

Magufuli aliye sema hadharani kuwa katiba sio ajenda yake na Ikulu ina mizizi iliyojichimbia zaidi ya mihimili mingine???

Tafadhali mkuu msifie Magufuli kwa mengine ila sio hili la ushirikiano. Hata roho yake huko kuzimu iliko inakushangaa jinsi unavyomsingizia!!!
 
Ninavyofahamu ni Magufuli ndiye aliyeukataa upinzani,alivyoingia tu madarakani aliapa kuwa ataumaliza upinzani,na kweli kwani alianza kupiga marufuku mikutano yao hata seminar za ndani za vyama hada Chadema zilipigwa marufuku. Hakuishia hapo alianza kurubuni wabunge na madiwani kujiunga CCM kwa ahadi za vyeo na fedha wale waliokuwa wagumu walishughulikiwa kwa kudhoofishwa kiuchumi, kufunguliwa kesi za uongo,kutekwa na kupotezwa na wengine kupigwa risasi. Na funga kazi akauvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na kuhakikisha wagombea waupinza wote wanaenguliwa mbinu ambayo hata mrithi wa Rais Samia anaitumia sasa hivi. Alihitimisha azma yake hiyo ovu 2020 kwa uchafuzi uliopelekea kuwa na bunge la maccm tupu. Ni upotoshaji mkubwa kusema Wapinzani walimkataa Magufuli.
🙋‍♂️✍️🎯👍👌👏🤝🙏
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Muuaji yule na alivyokua anawachukia na kuwaona maadui wangeunganaje nae
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Tanzania IPI? Ya wizi wa kura?! Wapinzani hawazuii chochote, kila kitu nchi hii, kipo mikononi mwa ccm kwa miaka 60+! Kama vitu haviendi, kiss ni ccm,
Shida IPO hapa, ccm hawajuhi wafanye nini kuendeleza nchi, ni kuiba tu,
Mfano mdogo! Alisema Prof Tibaijuka akiwa waziri! (Maofisa wake wizarani walipitisha azimio wajenge karakana ya mwendokasi jangwani! Akapinga, akaonyesha report za kitaaalamu lile eneo halifai?akaomba mpaka msaada kwa boss wake, Kikwete! Wapi! Kenge wa wizarani wakamzunguka, wakajenga! Fast forward! Kuna nini pale!) Sasa hv wamewafukuza wafanyabiashara mawasiliano, ili wajenge pale! Sasa cha kujiuliza, wakati wanajenga jangwani hawakujua eneo la mawasiliano lipo?
Ndani ya miaka 10,wataondoka tena mawasiliano,! Kwanini ujenge karakana katikati ya mji!?
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Umesema kweli ila basi tu
 
Tundu lisu ndiye anabeba lawama zote za kwa nini wapinzani hawakumuunga mkono Magufuli. Yeye ndiye alianzisha wazo la "pingapinga" (kupinga kila kitu) kwa madai ya kwamba Magufuli alianza kutekeleza sera za wapinzani kwa hiyo wao wangekosa cha kuwaambia wananchi. Viongozi wasio na maono ndivyo walivyo.
Ni kweli, laiti wapinzani wangemuunga mkono shujaa wetu, sasa hivi tungekuwa na Tanzania tofauti na ilivyo sasa. Hata ccm lazima ingebadilika. Sasa kwa kuwa watu tuliamua kumsikiliza lisu, basi ngoja tuendelee kuhenyeshwa.
Nlitaka Nan na na I wamuunge mkono? Mbona wapinzani wengi sana waliunga juhud mkono? Prof.kitila,wabunge wengi tu waliunga mkono mbunge wa babat mjini,hamkumbuki wabunge na viongoz weng wa upinzan waliunga mkono?
 
Back
Top Bottom