Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Upgraded without a notice...Asa mbona kikao cha mwisho tuliletewa mrejesho eti sisi tuje tu na sura na matacore yetu...eti akili tutatumia zenu
Hizi updates za sisi kuwa na umakini mbona za ghafla sana
Unavyosema inabidi awe hivi mara awe vile ni kama anajiumba huyo unayemuongeleaNdoa na mwanamke asiye na mvuto ni shida mno
Yaan mwanamke asie na mvuto akikukera huwa hasira zinapungua taratibu sana....
Unavyosema inabidi awe hivi mara awe vile ni kama anajiumba huyo unayemuongelea
Yessssir!Kuhusu Maumbile tumuachie M. MUNGU! Kwangu njoo na Tabia Njema tu
Nimecheka kama fala asee,Ndoa na mwanamke asiye na mvuto ni shida mno
Yaan mwanamke asie na mvuto akikukera huwa hasira zinapungua taratibu sana
Kuna mmoja niliwah kuwa nae,alikuwa na mguu mbaya,ilikuwa ikitokea kanikera nikauona na ule mguu wake yaan ndo hasira zinanizid kabisa,naweza beba hata jiwe ni uponde huo mguu
wAnawake ni maua,inabid ndani uwe na kitu kitu kweli kinawaka,hata kikiwa kipo jikoni ukikitazama mpaka unapata hamu ya kula chakula na yeye mwenyew
Nimecheka sanaNdoa na mwanamke asiye na mvuto ni shida mno
Yaan mwanamke asie na mvuto akikukera huwa hasira zinapungua taratibu sana
Kuna mmoja niliwah kuwa nae,alikuwa na mguu mbaya,ilikuwa ikitokea kanikera nikauona na ule mguu wake yaan ndo hasira zinanizid kabisa,naweza beba hata jiwe ni uponde huo mguu
wAnawake ni maua,inabid ndani uwe na kitu kitu kweli kinawaka,hata kikiwa kipo jikoni ukikitazama mpaka unapata hamu ya kula chakula na yeye mwenyew
Wee njoo na sura na tako tuu.Asa mbona kikao cha mwisho tuliletewa mrejesho eti sisi tuje tu na sura na matacore yetu...eti akili tutatumia zenu
Hizi updates za sisi kuwa na umakini mbona za ghafla sana
Haya sasa ndio maneno bwana. Mke anapaswa awe pisi kweli kweli. Sema hela tuu ndio zinapiga chenga.Ndoa na mwanamke asiye na mvuto ni shida mno
Yaan mwanamke asie na mvuto akikukera huwa hasira zinapungua taratibu sana
Kuna mmoja niliwah kuwa nae,alikuwa na mguu mbaya,ilikuwa ikitokea kanikera nikauona na ule mguu wake yaan ndo hasira zinanizid kabisa,naweza beba hata jiwe ni uponde huo mguu
wAnawake ni maua,inabid ndani uwe na kitu kitu kweli kinawaka,hata kikiwa kipo jikoni ukikitazama mpaka unapata hamu ya kula chakula na yeye mwenyew
πππ DaaahAsa mbona kikao cha mwisho tuliletewa mrejesho eti sisi tuje tu na sura na matacore yetu...eti akili tutatumia zenu