Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Wee njoo na sura na tako tuu.
Nyie kwanza akili zenu za vicoba tuu
Huo ndo msimamo wa kiume sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee njoo na sura na tako tuu.
Nyie kwanza akili zenu za vicoba tuu
😃😃😂😂😂 Daaah
Yessssir!
Tupa kapuni😂😂😂Sasa wasio na shape itakuwaje
Dhambi 🤣🤣🤣Ndoa na mwanamke asiye na mvuto ni shida mno
Yaan mwanamke asie na mvuto akikukera huwa hasira zinapungua taratibu sana
Kuna mmoja niliwah kuwa nae,alikuwa na mguu mbaya,ilikuwa ikitokea kanikera nikauona na ule mguu wake yaan ndo hasira zinanizid kabisa,naweza beba hata jiwe ni uponde huo mguu
wAnawake ni maua,inabid ndani uwe na kitu kitu kweli kinawaka,hata kikiwa kipo jikoni ukikitazama mpaka unapata hamu ya kula chakula na yeye mwenyew