Tetesi: Wapo wapi Lema na Sugu?

Exactly 💯. Nikupe pia nyongeza. Pitia maandishi mareeefu ya Lema alipo comment kule twitter yake kauli ya Dini na Siasa ya JK. Na baadae Twitter.

Lkn pia ukumbuke, LEMA alisha eleza hadharani msaada aliopewa na JK. Kurudi Nchini. Secondly kile kikao cha Africa Hotel juu ya Bandari. Kimsingi Lema sio CHADEMA na Hakubaliani na Lisu
 
watu waerevu ni watu makini sana.

wamegundua wanampambania mtu ambae hawezi pata chochote 2025, na kwahivyo itakua ni uzuzu huyo apoteze kiti na wao wapoteze viti vyao..

nia afadhali wapambanie majimbo yao...
 
S
Niliposema Lissu si "presidential material" mlininijia juu! Muyaone wenyewe Sasa, muache manung'uniko.
Sijawahi hata siku mmoja kumuongelea vizuri huyu, najuwa ana agenda za ulaya ndio anataka kutuletea. JPM hakuwaona wote ila huyu jamaa, mtu aliyekuwa anajuwa siri za hawa ni Slaa, ndiye aliwauza kwa JPM pamoja na Mbowe mambo yao yote Slaa aliyaanika kwa JPM. Ndio maana uvumilivu ukafika mwisho. Lissu jeuri hii ni Ulaya wanampa lakini hajui kuwa hata wale wana maslahi tu, akipotezwa wale watatafuta mwingine Lissu atakuwa history tu.
 
Lema kaiishiwa hoja baada ya mropokaji mwenzie kuchukua usukani( LISSU)
 
Tz jasusi..... Kutoka kuwinda majangili wa magari mpaka ubunge, kutoka mitaa ya dandu mpaka mjengoni... Kazi iyendelee wengine kutoka maabusu mpaka kuwa wabunge nahakuna wakuhoji.. hata yule wakusamehe mfupa umemshinda
 
Tanzania kuna viwanda vya uongo - by Jakaya Kikwete.
 
Nia ya Lema ilikuwa ni kumrithi Mbowe na Mbowe alipoonesha kutokubaliana na mpango wa Lema ndio maana Lema kasepa na kuna kila dalili atarudi TLP , ni swala la muda tu.
 
Akili ya kawaida inafikiria kuwa viongozi hao wataunguruma pale ambapo mikutano itafika kwenye kanda zao.
 
Duh kumbe haya mambo CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind? bado yapo!
P
 
Basi balaaaaaaaa kubwa
 
Nia ya Lema ilikuwa ni kumrithi Mbowe na Mbowe alipoonesha kutokubaliana na mpango wa Lema ndio maana Lema kasepa na kuna kila dalili atarudi TLP , ni swala la muda tu.
Watu wa Arusha hatuwezi shangaa... Lema ana kashfa ya kuuza ubunge kwa Mrema mwaka 2005. Hata mwaka 2010 alikuwa tayari kuuza ubunge wake ila wananchi waliizingira halmashauri Lema na kina Lowasa wakiwa ndani na kujiapisha kwamba watachoma majengo na watu walioko ndani endapo Lema atarudia upuuzi wa kuuza haki yake. Lema ni kama Zitto ila tofauti yao ni elimu tu.
 
Acha kubweka wewe. Sasa ulitaka Lisu alalamikie kwa nani ikiwa kila mifumo imekumbatiwa na ccm? Aende kwenye mahakama uchwara hizi zinazopokea maagizo?

Kama Lisu angeruhusiwa kwenda ngorongoro kungekuwa na tatizo?

Acha ujinga wewe. Unaongea ukiwa umekaa sebuleni kwa dadako unajiona mjanja!! Shibamiti!
 
UONGO, si rahisi Lema /Sugu kuhongwa kijinga hivyo. Kama Magufuli alitaka kuwapa mabilioni wakataa, leo ndiyo wakubali vijisenti. Stop that nonsense! CCM hili nalo limebuma
Kwa Lema naweza kuamini maana mwaka 2010 aliwekewa pesa mezani na mzee Lowassa ili jimbo la Arusha mjini amwachie Batilda Buriani, Lema akakubali, watu wakatoa taarifa kwa Mbowe ikabidi helicopter iwashwe ikaingia chuga muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa Mbowe akamwambia Lema "dogo acha useti" akashika bango kwa kushirikiana na vijana waliokuja na madumu ya petroli nje ya eneo la kutangazia matokeo polisi wakaona isiwe kesi wakamwambia mkurugenzi deal imefail tangaza tu matokeo kwa Pipozzz.

Kikwete na Lowassa wakamind sana.
 
Acha uchochezi 🤔,tunajua ,wana🦎🍀 mnahaha popote ulipo😂😂🏃🏃🤸🤸🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…