TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nina walaumu wazee wa Chadema kwa kutokamilisha kazinya kuwafundisha vijana wa Chama hicho kujengea hoja. Kuna mapungufu mengi kwenye Ujenzi wa hoja wa Vijana hawa.Mandela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina walaumu wazee wa Chadema kwa kutokamilisha kazinya kuwafundisha vijana wa Chama hicho kujengea hoja. Kuna mapungufu mengi kwenye Ujenzi wa hoja wa Vijana hawa.Mandela
Tanzania hatuna vyama vya upinzani halisiSeke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA.
Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini.
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama .Imepelekea Kugomea mikutano ya chadema inayoendelea nchini ya kudai Katiba mpya na kupinga bandari.
Lema alirudi nchini kwa msaada wa Rais Mstaafu JK ,ambaye alimuombea kwa mama Samia. Baada ya kurudi Lema aliingia makubaliano ya siri na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM akiwemo Rais Mstaafu .Makubaliano yalikua Lema afanye hisani kusaidia Upinzani usiitikise CCM hasa kwenye uchaguzi Mkuu ujao.
Hapo mwanzo serikali ilikua kwenye transition na watu wengi walikua hawajawa aligned sawa sawa , hivyo kuna watu serikalini waliwatonya akina Lissu juu ya uwepo wa watu wanaoandaliwa kuja kuwabomoa wapinzani kabla au nyakati za uchaguzi.
Mipango hio ikajulikana na tayari Lissu ambaye anajipanga kugombea tena urais 2025 akawataka wenzake wasimweke karibu LEMA. Kuna walioamini habari hizo na wengine hawakuamini.
Maafisa usalama wa serikali waliopo chadema kama S M na wenzake , waliieleza serikali kuhusu mipango ya kumtumia LEMA kujulikana .
Lema alianza kujitenga na Mikutano mingi akawa anaikwepa , Mbali na LEMA pindikizi jingine alikua ni SUGU ambaye yeye alihakikishiwa ubunge lakini kwa condition pia ya kurejeshewa hoteli yake iliyokuwa kwenye mgogoro na NEMC iitwayo hotel DESDERIA.
Toka SUGU aingie makubaliano hayo alianza kukwemba siasa za jino kwa jino na kuegemea zaidi kwenye mziki na kukusanya wanamziki wa kale wawe wanaimba ubalozi wa Ufaransa kila mwezi. Jambo hili lilimkasirisha sana Mbowe na Lissu.
Nimesema haya najua muda ni mwalimu na mwamuzi mzuri , siku sio nyingi mtasikia moto unawaka Chadema.
View attachment 2743994View attachment 2743995
Alipomualika Raisi kwenye birthday yake ya usanii, minilushasema jamaa keshaingia king, hapa Kuna namna🤔Sugu haonekani kwenye kampeni za chama chake. Lazima kuna shida
Haiwezekani viongozi almost wote wa kamati kuu wako site yeye haonekani kuungana nao kuongeza nguvu
Tanzania kuna viwanda vya uongo- by Jakaya Kikwete.Kwa Lema naweza kuamini maana mwaka 2010 aliwekewa pesa mezani na mzee Lowassa ili jimbo la Arusha mjini amwachie Batilda Buriani, Lema akakubali, watu wakatoa taarifa kwa Mbowe ikabidi helicopter iwashwe ikaingia chuga muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa Mbowe akamwambia Lema "dogo acha useti" akashika bango kwa kushirikiana na vijana waliokuja na madumu ya petroli nje ya eneo la kutangazia matokeo polisi wakaona isiwe kesi wakamwambia mkurugenzi deal imefail tangaza tu matokeo kwa Pipozzz.
Kikwete na Lowassa wakamind sana.
Asepe tu. Ubunge tunampa Amani Golugwa was CHADEMANia ya Lema ilikuwa ni kumrithi Mbowe na Mbowe alipoonesha kutokubaliana na mpango wa Lema ndio maana Lema kasepa na kuna kila dalili atarudi TLP , ni swala la muda tu.
CHADEMA ndio chama pekee kinachofanya mikutano. Nyie endeleeni na Fitina.Seke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA.
Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini.
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama .Imepelekea Kugomea mikutano ya chadema inayoendelea nchini ya kudai Katiba mpya na kupinga bandari.
Lema alirudi nchini kwa msaada wa Rais Mstaafu JK ,ambaye alimuombea kwa mama Samia. Baada ya kurudi Lema aliingia makubaliano ya siri na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM akiwemo Rais Mstaafu .Makubaliano yalikua Lema afanye hisani kusaidia Upinzani usiitikise CCM hasa kwenye uchaguzi Mkuu ujao.
Hapo mwanzo serikali ilikua kwenye transition na watu wengi walikua hawajawa aligned sawa sawa , hivyo kuna watu serikalini waliwatonya akina Lissu juu ya uwepo wa watu wanaoandaliwa kuja kuwabomoa wapinzani kabla au nyakati za uchaguzi.
Mipango hio ikajulikana na tayari Lissu ambaye anajipanga kugombea tena urais 2025 akawataka wenzake wasimweke karibu LEMA. Kuna walioamini habari hizo na wengine hawakuamini.
Maafisa usalama wa serikali waliopo chadema kama S M na wenzake , waliieleza serikali kuhusu mipango ya kumtumia LEMA kujulikana .
Lema alianza kujitenga na Mikutano mingi akawa anaikwepa , Mbali na LEMA pindikizi jingine alikua ni SUGU ambaye yeye alihakikishiwa ubunge lakini kwa condition pia ya kurejeshewa hoteli yake iliyokuwa kwenye mgogoro na NEMC iitwayo hotel DESDERIA.
Toka SUGU aingie makubaliano hayo alianza kukwemba siasa za jino kwa jino na kuegemea zaidi kwenye mziki na kukusanya wanamziki wa kale wawe wanaimba ubalozi wa Ufaransa kila mwezi. Jambo hili lilimkasirisha sana Mbowe na Lissu.
Nimesema haya najua muda ni mwalimu na mwamuzi mzuri , siku sio nyingi mtasikia moto unawaka Chadema.
View attachment 2743994View attachment 2743995
Sugu yupo Mbeya na Song we anafanya mikutano. Shida mmekalia umbea wakati wenzenu wanafanya mikutano. Ni CHADEMA pekee ndio wanafanya mikutano, wengine wamelala .Sugu haonekani kwenye kampeni za chama chake. Lazima kuna shida
Haiwezekani viongozi almost wote wa kamati kuu wako site yeye haonekani kuungana nao kuongeza nguvu
Fanyeni mikutano acheni porojo. Wameondoka wangapi CHADEMA, sembuse Lema ambaye akitoka tu Ubunge tunampa Amani Golugwa.Kuna kama ukweli hapa ni kama vile Sugu na Lema mguu mmoja ndani mwingine nje. Anyways mda utatuambia.
Soma ulichoandika. Serikali yako juzi imeipigia magoti World Bank waipe dollar, halafu unakuja kupiga kelele kuhusu Lissu. Kama serikali, bunge na mahakama zimetekwa na CCM wananchi wakimbilie wapi?.Nani anaonekana zaidi ya Lissu, yuko huko kaskazini anatafuta fujo mbona viongozi wenzake kimyaa. Lissu leo wazi anakiri na kuongea kila saa kuwa nchi za ulaya, sijui na mawasiliano nao mazuri, nitawatumia barua na mambo mengi ni kama tunatawaliwa na Ulaya. Sasa ni yeye anapiga kelele waarabu watatutawala iweje anatufanya tuwe wanyonge kama Ulaya ndio wanahaki ya kutuamulia mambo yetu? Yuko huko na viongozi wa wilaya tu wale members wakuu wa chama chake hakuna hata mmoja. Kwa kifupi huyu mtu ni hatari kuliko tunavyodhani, JPM kutaka kumfyeka huyu hakuwa mjinga anajuwa tusiyoyajuwa. Bahati mbaya Mama anaweka roho ya kimama, hapa angeteua ubunge Makonda akampa wizara ya mambo ya ndani shughuli tungeiona. Lissu ni kibaraka wa nchi za ulaya, period.
Mnashindwa kushughilikia uhaba wa mafuta , Deni la taifa na mfumuko wa Bei, akili zenu zote kupambana na CHADEMA. Ndio maana mmeporomoka kwenye uchumi wa kati.Lema anavizia kupata teuzi ya kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole. Sugu hana tatizo lolote ni mwanaCCM mwenzetu kwenye mavazi ya CHADEMA. Hata mwenyekiti Mbowe ni mwanaCCM mtiifu. Kiufupi CHADEMA waliobaki labda ni Lissu na Mdude. Hawa wawili tatizo lao kubwa ni la kisaikolojia. Wakishapona watajiunga na chama kubwa baadae. Wengine kama Mnyika, Heche, Malisa, Yeriko Nyerere, Erythrocyte , Mshana Jr , Dawa ya Uvccm , ni wanaCCM waliopo CHADEMA kwa kazi maalum.
Lema anaandaa nondo za kutukana waislamu na kiti moto kwa ajili ya wale mashekh zake.Mboga mboga wana haha...
Sugu yuko Mbeya na Songwe ana piga mikutano usiku na mchana
Lema uta mshuhudia soon Arusha Tanga Moshi na Manyara OP rudisha Bandari
Chadema Taasisi kubwa huko Ngorongoro wenzako wameomba Pooo
Wameambiwa na nani?. Kumbe ubunge ni wa kupewa. Mkiambiwa hakuna uchaguzi Tanzania mnakuja juu.Wameambiwa wakuzingua hawatapewa ubunge
Wewe mwenye roho ya kiuaji sikia, huyo Makonda mbona alimshindwa Lissu, mpaka bossi wake akafa kwa aibu na huyo Makonda yupo kijiweni. Achana na Lissu fanya kazi zako. Yani Rais ateue mtu Kuja kupambana na Lissu baadla ya kusaidia nchi isonge mbele. Punguza unafiki na roho mbaya.Nani anaonekana zaidi ya Lissu, yuko huko kaskazini anatafuta fujo mbona viongozi wenzake kimyaa. Lissu leo wazi anakiri na kuongea kila saa kuwa nchi za ulaya, sijui na mawasiliano nao mazuri, nitawatumia barua na mambo mengi ni kama tunatawaliwa na Ulaya. Sasa ni yeye anapiga kelele waarabu watatutawala iweje anatufanya tuwe wanyonge kama Ulaya ndio wanahaki ya kutuamulia mambo yetu? Yuko huko na viongozi wa wilaya tu wale members wakuu wa chama chake hakuna hata mmoja. Kwa kifupi huyu mtu ni hatari kuliko tunavyodhani, JPM kutaka kumfyeka huyu hakuwa mjinga anajuwa tusiyoyajuwa. Bahati mbaya Mama anaweka roho ya kimama, hapa angeteua ubunge Makonda akampa wizara ya mambo ya ndani shughuli tungeiona. Lissu ni kibaraka wa nchi za ulaya, period.
Mtaulizia Sana. Inaonekana mnaifatilia Sana CHADEMA. Mmeshaingia kwenye mtego.Kwani Mchungaji Msigwa amehamia ACT? Mbona asemwi!
Akili ndogo hujadili watu. Wewe Kama ni presidential material kagombee huo urais. Nyie ndio mnaowaponda wachezaji wakiwa uwanjani wakati hata danadana moja huwezi kupiga.Niliposema Lissu si "presidential material" mlininijia juu! Muyaone wenyewe Sasa, muache manung'uniko.
Hawa ccm wenzako wanakidhalilisha Chama chenuMbona Sugu yuko Songwe anafanya mikutano Jamani!
Naona nyoka mnatoka pangoni. Mchukueni Lema aende CCM . CHADEMA Arusha Ina vijana wengi wa kuchukua nafasi.Exactly 💯. Nikupe pia nyongeza. Pitia maandishi mareeefu ya Lema alipo comment kule twitter yake kauli ya Dini na Siasa ya JK. Na baadae Twitter.
Lkn pia ukumbuke, LEMA alisha eleza hadharani msaada aliopewa na JK. Kurudi Nchini. Secondly kile kikao cha Africa Hotel juu ya Bandari. Kimsingi Lema sio CHADEMA na Hakubaliani na Lisu