Tetesi: Wapo wapi Lema na Sugu?

Tetesi: Wapo wapi Lema na Sugu?

Hauna upeo wa Siasa. Lema hamnae tena
Hata Slaa aliondoka, ila leo anataka kutudi kwa mlango wa nyuma. Ukishahama CHADEMA unafulia kisiasa. Kwanza kwa Arusha Lema hawezi kurudi ataenda Jimbo jingine.
 
Nina walaumu wazee wa Chadema kwa kutokamilisha kazinya kuwafundisha vijana wa Chama hicho kujengea hoja. Kuna mapungufu mengi kwenye Ujenzi wa hoja wa Vijana hawa.
Kuna hoja gani iliyoletwa?. Ya mwanaume kutangaza kuwa wanaume wenzake wanagombana. Hiyo sio hoja ni dalili za ushoga.
 
Sugu anajulikana, aliingia kwenye ubunge wa Mbeya kwa msaada wa JK. Kwani kuna mtu asiyejua kuwa ili kuzima ugomvi wa akina January na Sugu kwenye ule mchongo wa project ya Malaria ilibidi Sugu alipwe ubunge?.
Tunajua ishu zote ila tunakaa kimya tu life iende. JK ana mapandikizi yake humo ndani ya Chadema.
Mnatapatapa Sana. Mara Lema , mara Sugu. Mmeingia kwenye mtego wa kuifatilia CHADEMA kiurahisi.
 
Tanzania hatuna vyama vya upinzani halisi
Ila tuna watu mmoja mmoja ambao ni wapinzani halisi,
Ukweli ni kwamba Kikwete nyuma ya pazia alishakubaliana na wapinzani hadharani kutokukubaliana lkn gizani wanakubaliana kila kitu.
Lissu hayupo chama sahihi cha upinzani,

Tanzania chama halisi cha upinzani bado hakijazaliwa.
Nyie ndio wale wanafiki, mnaonifanya kujua Jambo kumbe Wala hamjui chochote. Nyie ndio wale mnaoponda mchezaji hajui kucheza wakati hata danadana huwezi kupiga. Kasome katiba ya nchi uniambie tupo kwenye mfumo wa chama kimoja au mfumo wa vyama vingi?.
 
Mapandikizi ya Mfumo ndani ya Chadema hawawezi kuwa Lema wala Lissu

wapo na wataendelea kuwepo ……wao ndio watajifanya ni wana Chadema kuliko Mbowe, watajionesha wanaochukia CCM kuliko wanavyomchukia Shetani

Mpangaji mwenzio anaejifanya hataki kabisa ukaribu na wake wa wapangaji wenzie ndio mpangaji hatare zaid, Maofisni na kwny Siasa watumishi wanaopenda kuonekana wachamungu na wazalendo zaid ndio huwa mafisadi zaid
 
"Nimesema haya najua muda ni mwalimu na mwamuzi mzuri" - Nukuu
Seke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA.
Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini.
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama .Imepelekea Kugomea mikutano ya chadema inayoendelea nchini ya kudai Katiba mpya na kupinga bandari.
Lema alirudi nchini kwa msaada wa Rais Mstaafu JK ,ambaye alimuombea kwa mama Samia. Baada ya kurudi Lema aliingia makubaliano ya siri na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM akiwemo Rais Mstaafu .Makubaliano yalikua Lema afanye hisani kusaidia Upinzani usiitikise CCM hasa kwenye uchaguzi Mkuu ujao.

Hapo mwanzo serikali ilikua kwenye transition na watu wengi walikua hawajawa aligned sawa sawa , hivyo kuna watu serikalini waliwatonya akina Lissu juu ya uwepo wa watu wanaoandaliwa kuja kuwabomoa wapinzani kabla au nyakati za uchaguzi.
Mipango hio ikajulikana na tayari Lissu ambaye anajipanga kugombea tena urais 2025 akawataka wenzake wasimweke karibu LEMA. Kuna walioamini habari hizo na wengine hawakuamini.
Maafisa usalama wa serikali waliopo chadema kama S M na wenzake , waliieleza serikali kuhusu mipango ya kumtumia LEMA kujulikana .
Lema alianza kujitenga na Mikutano mingi akawa anaikwepa , Mbali na LEMA pindikizi jingine alikua ni SUGU ambaye yeye alihakikishiwa ubunge lakini kwa condition pia ya kurejeshewa hoteli yake iliyokuwa kwenye mgogoro na NEMC iitwayo hotel DESDERIA.
Toka SUGU aingie makubaliano hayo alianza kukwemba siasa za jino kwa jino na kuegemea zaidi kwenye mziki na kukusanya wanamziki wa kale wawe wanaimba ubalozi wa Ufaransa kila mwezi. Jambo hili lilimkasirisha sana Mbowe na Lissu.
Nimesema haya najua muda ni mwalimu na mwamuzi mzuri , siku sio nyingi mtasikia moto unawaka Chadema.

View attachment 2743994View attachment 2743995
Hakika! Muda ni mwalimu mzuri sana. Kuna kila aina ya mbinu za kiufundi na propaganda ndani ya michakato na usanii wa kuendesha ajenda za kisiasa.
 
Alipomualika Raisi kwenye birthday yake ya usanii, minilushasema jamaa keshaingia king, hapa Kuna namna🤔
Alimualika Kama Rais sio Mwenyekiti wa CCM . M ona hata CHADEMA walimualika Rais kwenye mkutano wa BAWACHA?. Mbona Leo spana zinaendelea mpaka mmeanza kulia.
 
Mapandikizi ya Mfumo ndani ya Chadema hawawezi kuwa Lema wala Lissu

wapo na wataendelea kuwepo ……wao ndio watajifanya ni wana Chadema kuliko Mbowe, watajionesha wanaochukia CCM kuliko wanavyomchukia Shetani

Mpangaji mwenzio anaejifanya hataki kabisa ukaribu na wake wa wapangaji wenzie ndio mpangaji hatare zaid, Maofisni na kwny Siasa watumishi wanaopenda kuonekana wachamungu na wazalendo zaid ndio huwa mafisadi zaid
Uongo.
 
acheni Siasa za kishamba za kuchochea mitafaruku kwny vyama vya Siasa…nyie humu kuna mtu wa kufikia Lema na Sugu kwny kupigania Chadema?!

Vijana wa siku hizi wa ajabu sana…mmekuwa watu wa kuzusha zusha
 
Hizo ni tetesi za kweli, Mbowe Nia yake ni kuwatoa wale ambao ni tishio kwake ili aendelee kuwa chairman of chadema,lisu alimsukia mpango wa kumpiga risasi,chacha wangwe alimwondoa kijanja Kwa Ile ajali,Zitto akamwita msaliti na kadhalika,Hiko ni chama Cha wachaga na wakiristo
 
Nani anaonekana zaidi ya Lissu, yuko huko kaskazini anatafuta fujo mbona viongozi wenzake kimyaa. Lissu leo wazi anakiri na kuongea kila saa kuwa nchi za ulaya, sijui na mawasiliano nao mazuri, nitawatumia barua na mambo mengi ni kama tunatawaliwa na Ulaya. Sasa ni yeye anapiga kelele waarabu watatutawala iweje anatufanya tuwe wanyonge kama Ulaya ndio wanahaki ya kutuamulia mambo yetu? Yuko huko na viongozi wa wilaya tu wale members wakuu wa chama chake hakuna hata mmoja. Kwa kifupi huyu mtu ni hatari kuliko tunavyodhani, JPM kutaka kumfyeka huyu hakuwa mjinga anajuwa tusiyoyajuwa. Bahati mbaya Mama anaweka roho ya kimama, hapa angeteua ubunge Makonda akampa wizara ya mambo ya ndani shughuli tungeiona. Lissu ni kibaraka wa nchi za ulaya, period.
Imejaa ujinga kwenye Hilo fuvu Kisha unautapika humu! Huu mtazamo wako ni wa kifedhuli Sana wa kutaka wanaosema ukweli waumizwe na huyo makonda wako ndio unamuona mtesaji mzuri eti eeh! Amlete tu akione Cha moto!
 
Na iwe hivyo..kinyume chake ..Kuna shida mahali!
Mboga mboga wana haha...

Sugu yuko Mbeya na Songwe ana piga mikutano usiku na mchana

Lema uta mshuhudia soon Arusha Tanga Moshi na Manyara OP rudisha Bandari

Chadema Taasisi kubwa huko Ngorongoro wenzako wameomba Pooo
 
Acha kubweka wewe. Sasa ulitaka Lisu alalamikie kwa nani ikiwa kila mifumo imekumbatiwa na ccm? Aende kwenye mahakama uchwara hizi zinazopokea maagizo?

Kama Lisu angeruhusiwa kwenda ngorongoro kungekuwa na tatizo?

Acha ujinga wewe. Unaongea ukiwa umekaa sebuleni kwa dadako unajiona mjanja!! Shibamiti!
Kwani dhambi kukaa kwa shemeji bwanaa, wacha nile raha, wivu mpaka kwa shemeji yangu..mbwaa wewe
 
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama
Wee ni mpumbavu sana, yaani unaandika Kwa kuuliza swali halafu Aya ya pili tu unakua umeshajijibu halafu unaendelea kuandika! Huu ni aina Fulani ya ushoga
 
Soma ulichoandika. Serikali yako juzi imeipigia magoti World Bank waipe dollar, halafu unakuja kupiga kelele kuhusu Lissu. Kama serikali, bunge na mahakama zimetekwa na CCM wananchi wakimbilie wapi?.
Wananchi na nani sema sisi Chadema. Nyinyi ngoja tuwafanye vibaya 2024/2025 ndio mtashikana mashati wanafiki wakubwa nyinyi. Mbona watu hata waliokuwa wanaichukia CCM wanawajuwa nyinyi ndio hamfai hata kuongoza mtaa. JPM aliwajuwa nyinyi mbwaa leo hii mngekuwa vilema wote. Eti Ulaya... nyokooooo
 
Back
Top Bottom