Tetesi: Wapo wapi Lema na Sugu?

Tanzania hatuna vyama vya upinzani halisi
Ila tuna watu mmoja mmoja ambao ni wapinzani halisi,
Ukweli ni kwamba Kikwete nyuma ya pazia alishakubaliana na wapinzani hadharani kutokukubaliana lkn gizani wanakubaliana kila kitu.
Lissu hayupo chama sahihi cha upinzani,

Tanzania chama halisi cha upinzani bado hakijazaliwa.
 
Huyu lisu na mbowe...pesa wanazohongwa ili walete vurugu na matusi, wenzao wanawagawia?
 
Sugu haonekani kwenye kampeni za chama chake. Lazima kuna shida
Haiwezekani viongozi almost wote wa kamati kuu wako site yeye haonekani kuungana nao kuongeza nguvu
Alipomualika Raisi kwenye birthday yake ya usanii, minilushasema jamaa keshaingia king, hapa Kuna namna🤔
 
Tanzania kuna viwanda vya uongo- by Jakaya Kikwete.
 
Nia ya Lema ilikuwa ni kumrithi Mbowe na Mbowe alipoonesha kutokubaliana na mpango wa Lema ndio maana Lema kasepa na kuna kila dalili atarudi TLP , ni swala la muda tu.
Asepe tu. Ubunge tunampa Amani Golugwa was CHADEMA
 
CHADEMA ndio chama pekee kinachofanya mikutano. Nyie endeleeni na Fitina.
 
Sugu haonekani kwenye kampeni za chama chake. Lazima kuna shida
Haiwezekani viongozi almost wote wa kamati kuu wako site yeye haonekani kuungana nao kuongeza nguvu
Sugu yupo Mbeya na Song we anafanya mikutano. Shida mmekalia umbea wakati wenzenu wanafanya mikutano. Ni CHADEMA pekee ndio wanafanya mikutano, wengine wamelala .
 
Kuna kama ukweli hapa ni kama vile Sugu na Lema mguu mmoja ndani mwingine nje. Anyways mda utatuambia.
Fanyeni mikutano acheni porojo. Wameondoka wangapi CHADEMA, sembuse Lema ambaye akitoka tu Ubunge tunampa Amani Golugwa.
 
Soma ulichoandika. Serikali yako juzi imeipigia magoti World Bank waipe dollar, halafu unakuja kupiga kelele kuhusu Lissu. Kama serikali, bunge na mahakama zimetekwa na CCM wananchi wakimbilie wapi?.
 
Mnashindwa kushughilikia uhaba wa mafuta , Deni la taifa na mfumuko wa Bei, akili zenu zote kupambana na CHADEMA. Ndio maana mmeporomoka kwenye uchumi wa kati.
 
Mboga mboga wana haha...

Sugu yuko Mbeya na Songwe ana piga mikutano usiku na mchana

Lema uta mshuhudia soon Arusha Tanga Moshi na Manyara OP rudisha Bandari

Chadema Taasisi kubwa huko Ngorongoro wenzako wameomba Pooo
Lema anaandaa nondo za kutukana waislamu na kiti moto kwa ajili ya wale mashekh zake.
 
Wewe mwenye roho ya kiuaji sikia, huyo Makonda mbona alimshindwa Lissu, mpaka bossi wake akafa kwa aibu na huyo Makonda yupo kijiweni. Achana na Lissu fanya kazi zako. Yani Rais ateue mtu Kuja kupambana na Lissu baadla ya kusaidia nchi isonge mbele. Punguza unafiki na roho mbaya.
 
Mwongo mkubwa wewe
Chadema muda wote humtanguliza Lisu kwenye matukio ,kwahiyo subiria kimbunga

SUGU
Opareshi anazopiga mbeya huko sio zakitoto
 
Niliposema Lissu si "presidential material" mlininijia juu! Muyaone wenyewe Sasa, muache manung'uniko.
Akili ndogo hujadili watu. Wewe Kama ni presidential material kagombee huo urais. Nyie ndio mnaowaponda wachezaji wakiwa uwanjani wakati hata danadana moja huwezi kupiga.
 
Naona nyoka mnatoka pangoni. Mchukueni Lema aende CCM . CHADEMA Arusha Ina vijana wengi wa kuchukua nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…